MKATABA WA PANGO LA CHUMBA CHA BIASHARA
MKATABA
WA PANGO LA CHUMBA CHA BIASHARA:
Mimi ………….. wa S.L.P.
…………. – (eneo) mkazi wa ………………. leo tarehe …………. 2019 nimeingia mkataba wna
Ndugu ………………… wa S.L.P. ………….. – Songea kupanga chumba cha biashara kwenye
nyumba iliyopo …………….. Shughuli ya biashara itaanza tarehe …………….. baada ya
kukamilisha taratibu za kuanza biashara, hivyo pango litahesabika kuanzia
tarehe hiyo. Mkataba huu ni wa miezi mitatu baada ya hapo nitaamua kuendelea au
vinginevyo. Pango la chumba kwa mwezi ni Tshs: ……………./= kwa mwezi.
Huduma za umeme. na
maji zitategemea matutumizi kupitia metre separator au mita yangu mwenyewe.
Mkataba huu nimeingia
nikiwa na akili timamu na kushuhudiwa na: -
……………………………. ………………………………… ……………………………..
(……………….)
(……………..) (……………..)
SHAHIDI MPANGAJI MWENYE NYUMBA
071X XXX XXX 0757 XXX XXX 0754 XXX XXX
Comments
Post a Comment