TUNAKUSAIDIA KUPATA VIBALI BOT NA LESENI BRELA
ETJ.PROFFESSIONAL CONSULTANCY(The Experties in) Sajili kampuni yako au jina la biashara (Business name ) kupitia mfumo wa Brela online registration ofisi zetu tunatoa huduma zifuatazo: 1.kusajili kampuni kupitia Brela online registration kwa ada ya bei nafuu 2.kusajili jina la biashara/Business name 3.updating company na updating Business name/jina la biashara(kwa Kampuni /jina la biashara zilizosajiliwa mfumo wa zaman chini ya mwaka 2018 wanabid wapate update ili Kampuni yao iingie kwenye mfumo mpya wa online 4.Kufile annual returns Brela kwa kampuni kwenye mfumo wa online 5.kufuatilia kibali cha benki kuu tanzania (bot) kwa kampuni za kukopesha (micro finance company) kulingana na sheria mpya ilitungwa na serikal kuwa huduma ndogo za kifedha kusimamiwa na bot(bank of Tanzania/benki kuu tanzania) 6.Tunakusaidia kupata leseni Kwa njia ya online 7.Tunatengeneza company profile 8.Tunaandaa Tender document (vitabu vya tenda) kwa Kampuni ili iweze kupata tenda Mbalimbali 9....