Posts

Showing posts from July 2, 2019

JE,UNAHITAJI KUMILIKI KAMPUNI AU JINA LA BIASHARA TANZANIA?

Sasas unaweza kukamilisha usajili wa kampuni kwa haraka ukiwa na TJ CONSULTING FRIM AND PROFESSIONAL SERVICES.Popote ulipo tunakufikia na kukamilisha usajili wa kampuni yako ndani ya muda mfupi tu.                       UNACHOHITAJI KUWA NACHO NI:- Kitambulisho cha Taifa TIN namba yako(kila mkurugenzi) Anuani yako na ofisi Jina la kampuni yako  TJ FIRM Whatsapp group number +255 764 530 882 jiunge nasi kwa elimu bure za biashara, fursa za biashara uendeshaji wa biashara  ushauri wa biashara elimu za NGO,VIKUNDI, Masuala ya fedha  Tuma neno "tj"kwenda namba 0764530882