Posts

Showing posts from February 24, 2019
1.kwa mtu ambae umemaliza chuo na una uwezo wa kuandika project,kuandaa repoti...basi wewe ni kampuni tosha unaweza ukafungua ofisi yako ukawa unawaandikia na unawasaidia nwanafunzi wengi kuwaandalia final projects kuna wanafunzi wengi hawawezi kuandika projects soo watu wengi huwa wanawandalia final projects na hii unaweza ukakuta cost zao si chini ya laki moja,elfu 80,40, na ukaendelea na maisha kwa kutumia ujuzi 2.kwa mtu ambae ana degree ya accounts plus CPA wengi ya hawa hufungua makapuni ya ukaguzi wa fedha na pia hata kama una mtaji mdogo unaweza ukanunua viti na ubao ukawa unatoa mafunzo kwa wanafunzi wanaosemea masomo ya nabe,atec na mafunzo ya cpe na utapata sana pesa ...ndogo ndogo za kujikimu maana walimu wa haya masomo ni wachache sana. 3.kwa mtu ambae una uwezo wa kutunga stori..una uwezo wa kuandika stori ukatoa kitabu chako na ukapeleleka sokoni mfano wa vitabu ambavyo vipo sokoni ni kama mama yangu anakula nyama za watu, gamboshi hii huwa inalipa sana