Posts

Showing posts with the label UK

Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Image
UTANGULIZI Je Kuna bidhaa unataka kununua toka nje ya nchi kwa sababu hapa Tanzania umetafuta na umekosa kuipata? Je kuna huduma unahitaji kulipiwa mtandaoni? Kama jibu ni NDIO basi hii thread inakuhusu. Thread hii ni maalumu kwa wanaohitaji kununua bidhaa yeyote toka nje ya nchi. Bidhaa ambazo Hazipatikani hapa nchini au Hata ukipata gharama yake huwa ni kubwa mara mbili zaidi, ukilinganisha na gharama ya Kununua nje + Gharama ya usafirishaji + Kodi Hivyo thread hii itajikita katika nyanja kuu mbili: 1. BUY4ME : Manunuzi ya bidhaa mtandaoni toka mataifa 15: ITALY, UAE, CANADA, UK, USA, JAPAN, FRANCE, CHINA, INDIA, GERMAN, MALAYSIA, SINGAPORE, SPAIN & SOUTH AFRICA. Huduma hii nitaiita BUY4ME. (a) Kupitia huduma hii ya Buy4me Utaweza kununua bidhaa kutoka katika masoko * yaliyo bora yasiyouza na kusafirisha bidhaa nje ya nchi zao. (b) Pia ununuzi wa bidhaa toka masoko* ambayo yanaweza tuma bidhaa nje ya nchi zao, kuja huku Tanzania (Africa) * Masoko = O...