SALES AGENT-TJ CONSULTS&CO.LTD DODOMA
Habari,kampuni ya TJ CONSULTS&CO.LTD, tunahitaji vijana watakao kuwa ni direct sales agents wa Huduma za kampuni mikoa yote Tanzania. Vigezo 1. Umri usizidi miaka 28 2. uwe na level ya elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea. 3. Mwenye ujuzi juu ya mitandao ya kijamii kama facebook,twitter,linkedin,whatsapp,instagram,telegram nk. 4. uwe tayari kwa malipo ya commission. Tuma cheti cha o-level,elimu ya juu na kurasa moja itakayoeleza model yako ya mauzo na strategies zako. Huduma zetu ni : 1) RETURN FILLING 2) HANDLE PAYROLLRELATED TAXES 3) NGO FORMATION AND FOLLOWUP 4) TRADEMARK REGISTRATION 5) BUSINESS NAME REGISTRATION 6) COMPANY REGISTRATION AND SETUP 7) ORGANIZATION OVERVIEW 8) REVIEW...