Posts

Showing posts from March 30, 2019

liquidity

Inakuwaje cheque inakataliwa benki (bounced cheque)? # liquidity # financialmanagement # biashara Ni mara nyingi nimeshuhudia mikasa ya cheque zinapelekwa benki lakini zinakataliwa kwa sababu ya kutokuwa na pesa kwenye account Nakumbuka mkasa ambapo Mkurugenzi wa kampuni mmoja aliandika cheque ya million 3 na kumpa cashier akamchukulie pesa benki, lakini badaye alipewa jibu kuwa cheque imekataliwa kwa kuwa account haina pesa Mkurugenzi huyo alimkasirikia cashier wake kwa madai kuwa kulikuwa na uzembe kwani asubuhi ya siku hiyo aliambiwa na cashier kuwa account ya kampuni ilikuwa na pesa kiasi cha shilling million 5 Ukweli wa mambo ni kuwa ni kweli account ilikuwa na shilling milioni 5 lakini muda mfupi uliopita mteja mmoja wa hiyo kampuni alipeleka cheque yake ya Shilling million 3 bank ambayo alikuwa amepewa na hiyo kampuni wiki iliyopita. Kwa hiyo account ya kampuni ilibaki na shilling million 2 wakati cashier alipopeleka cheque ya Mkurugenzi ... Kwa habari zaidi t