Posts

Showing posts from March 22, 2019

ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

Image
MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA UANDISHI WA ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI 1, tumia Lugha inayojulikana na mataifa Mengi. Hapa tunashauriwa kutumia Lugha ya kingereza, Kwan ndiyo inayotambuliwa na wafadhili wengi. May be Ukiwa unaandikia kwa wafadhili wa ndani ya nchi. 2. Fuata hatua Za maombi - Hii ni kwasababu wafadhili wengi hupenda kutumia muundo wao ambao utaujaza kwa kujibu maswali yaliyoainishwa katika muundo huo ulioandaliwa. ( Tutajifunza kwenye practical ) - Lakini ikiwa Hakuna muundo ulioandaliwa na agencies basi utaandika kwa kufuata vipengere muhimu vya kuvifuata katka uandishi uo ( tutaviangalia soon ). 3. Kuwa makini na tarehe ya Mwisho katika kutuma maombi ya proposal - kosa kubwa linalofanywa na watu wengi ni kutuma maombi tarehe na dakka Za Mwisho. Hii inapelekea mfadhili kutoisoma/ kuifuatilia proposal yako vizuri. 4. Kujua kanuni na taratibu Za mfadhili katika utoaji wa ruzuku- kuzifahamu taratibu na kanuni ni hatua ya msingi katika kupata r