Posts

Showing posts with the label Utangulizi Kuhusu MEMART

Utangulizi Kuhusu MEMART

Image
Utangulizi Kuhusu MEMART   Namna Rahisi ya Kuandika MEMART – Memorandum and Article of Association Zifuatazo ni hatua na mambo muhimu ya kuyazingatia unapotaka kundika Memart MEMART ina sehemu kuu mbili Memorandum of Association Articles of Association Memorandum of Association Hii nis ehemu ya kwanza kabisa ya MEMART ambayo ina sehemu kuu nne: Jina la kampuni Ofisi ya kampuni Madhumuni ya kuanzisha kampuni Majina, anuani, idadi ya hisa na sahihi za wanahisa Sahihi ya mwanasheria na muhuri wake kama shahidi Articles of Association Hii ni sehemu kuu ya pili ya MEMART ambayo kwa ukweli inatafsiri tu sheria ya Makampuni ya Mwaka 2002 na maboresho yake kama ilivyotolewa kwa miaka tofauti. Inashauriwa kumtumia mwanasheria aliyebobea kwenye haya mambo ya kisheria kwa upande wa makampuni ili akusaidie vizuri namna ya kuiweka sehemu hii Pamoja na mambo mengi ya kisheria sehemu hii pia inatoa fursa ya kuorodhesha wakurugenzi wa kwanza wa kampuni, majina, anua...