ANAITAJIKA-MPISHI WA CHIPS NA KUKU WA SEKELA
ANAITAJIKA MPISHI MWENYE UZOEFU MKUBWA WA KUPIKA CHIPS ZA AINA TOFAUTI PAMOJA NA KUKU WA SEKELA NA UCHOMAJI WA NYAMA. OFFICE NI MPYA MAENEO YA MIKOCHENI KWA WARIOBA. MALIPO NI MAZURI KUTOKANA NA UZOEFU NA KUJITUMA KATIKA KAZI PIA. PIGA 0743 319 304 KWA MAELEZO ZAIDI