Uchaguzi DRC: Martin Fayulu anataka kura zihesabiwe upya
Uchaguzi DRC: Martin Fayulu anataka kura zihesabiwe upya Saa 6 zilizopita Image caption Martin Fayulu (wa pili kutoka kulia) akiwa mahakamani siku ya Jumamosi Mgombea wa upinzani katika uchaguzi mkuu uliyofanyika nchini Jamhuri ya kidemocrasia ya Congo amewasilisha kesi katika mahakama ya katiba kupinga matokeo ya uchaguzi huo. Martin Fayulu anasisitiza kuwa alishinda uchaguzi huo lakini tume ya uchaguzi ikamtangaza mshindani wake Felix Tshisekedi kuwa mshindi. Anamlaumu Tshisekedi, ambaye pia alikuwa mgombea wa upinzani kwa kushirikiana na rais anaeondoka madarakani Joseph Kabila. FBI 'ilimchunguza Trump kuhusiana na Urusi' Fahamu historia ya pasipoti duniani Acacia yalimwa faini ya milioni 300 Tanzania Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, wakili wake Feli Ekombe amesema: ...