Jinsi ya kuanzisha mradi – Mambo 7 Muhimu ya Kuzingatia
Huduma za Kitaalamu, Kubuni Miradi, Miradi ya Kijamii 2720 Ili kuanzisha mradi kuna baadhi ya mambo muhimu ni vyema ukayajua. kulingana na ukubwa wa mradi kifedha na kieneo mambo muhimu yaweza kubadilika. Lakini katika miradi yote angalau haya mambo yanastahili kuzingatiwa: Kufanya Utafiti wa Uhitaji wa Mradi – Project Research or Situational Analysis Uchambuzi wa wadau – Stakeholders Analysis Mpangilio wa mradi – Project Design Andiko la Mradi-Project Proposal na kutafuta pesa na rasilimali zinazotakiwa-fundraising Kuweka mipango ya utekelezaji wa mradi, Usimamizi, Ufuatiliaji na Tathmini – Project Planning, Management, Monitoring and Evaluation hii ni pamoja na namna ya kufanya ukaguzi wa mahesabu-project audit na kufanya tathmini ya mradi-project evaluation Kutengeneza taasisi ya kusimamia mradi-Organization Development Kutengeneza sera mbalimbali-Policies Development ———————————...