Posts

Showing posts with the label ZIJUE HAPA LEO : FAIDA ZA KUFUNGUA KAMPUNI

ZIJUE HAPA LEO : FAIDA ZA KUFUNGUA KAMPUNI

UNATAKA KUFUNGUA KAMPUNI? HIZI NI FAIDA ZA KUFUNGUA KAMPUNI Kama una malengo makubwa nakuomba uwaze kuwa na kampuni hata kama utashindwa kwa sasa ila baadae jitahidi. Kufungua kampuni sio lazima uwe na mtaji, na gharama za kufungua ni ndogo sana. Angalia hapa gharama zake zilivyoanishwa na Brela. Lakini faida ya kufungua kampuni ni kubwa sana sana na ni muhimu sana. Kwa haraka haraka, ukiwa na kampuni; Kodi inatozwa kwenye faida utakayopata (tena hata faida yenyewe unakatwa kodi yake ile faida uliyoshindwa kuitumia). Mfano. Kama niliuza mauzo ya Mil 100, na humo nilipata faida Mil 30, lakini nikanunua gari ya kampuni mil 25, basi kodi nitakatwa kwenye Mil 5.  Kwa Mtu binafsi angekatwa zaidi ya mil 10 Makadirio ya kodi utafanya mwenyewe Inatambulika kisheria(legal entity). Kama una hasara hutakiwi kulipa kodi Huwezi kurisisha Kazi ya kuajiriwa, bali unaweza kurithisha Kampuni. Na pia ni ra...