UNAHITAJI KUANDAA KATIBA YA KIKUNDI,SHIRIKA AU CHAMA CHOCHOTE?
UNAHITAJI KUANDAA KATIBA YA KIKUNDI,SHIRIKA AU CHAMA CHOCHOTE?FUATA MTIRIRIKO HUU Kwanza kabisa itambulike kuwa Katiba ndiyo msingi mkuu wa shughuli zote za taasisi ,chama,au kikundi husika,katiba ni kama barabara(ramani)itakayo wafikisha katika malengo yenu kusudiwa zingatia hatua zifuatazo katika Uandishi wako kama:- 1.Cover page 2.Yaliyomo 3.Tafsiri ya maneno 4.Utangulizi 5.Jina la taasisi,kikundi,chama pamoja na kifupi chake 6.Malengo ya kuanzisha 7.Aina ya wanachama,haki na wajibu wao na ukomo wao 8.Muundo wa Uongozi 9.Sifa na wajibu wa viongozi 10.Mikutano ya taasisi na kazi zake 11.Usimamizi wa fedha 12.vyanzo vya mapato 13.Mwaka wa fedha wa taasisi 14.Ukomo wa taasisi 15.Majina ya waanzalishili,nafasi zao na anuani zao