Posts

Showing posts from August 11, 2019

ETJ.PROFFESSIONAL CONSULTANCY LTD: START YOUR NGO IN TANZANIA

ETJ.PROFFESSIONAL CONSULTANCY LTD: START YOUR NGO IN TANZANIA : YOUR PROPOSED  NAME - (                                                                             ) Mob...........................

ORODHA YA FURSA ULIZONAZO (kwanini usipige hatua??)

1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi, Website updating/Database: Katika Halmashauri, Manispaa, Mashule, Wizara, Wilaya na Makampuni mbalimbali. 5. ** Kuanzisha kituo cha redio na televisheni 6. Kufunga na kutengeneza vifaa mbalimbali vya electroniki na mawasiliano mfano; compyuta na vifaa vya compyuta na mawasiliano. 7. ** Kuuza software; mfano Antivirus, Operating Systems, Pastel, Tally, Myob, n.k 8. Kushona na kuuza nguo. 9. Kufungua Duka la kuuza nguo mpya; suit, socks, batiki, nguo za asili, Mashuka, Mashati, Suruali, 10. Ufugaji wa mifugo mbalimbali mfano Kondoo, Mbuzi, Ng?ombe, Kuku, Bata, na wengine. 11. Kufungua stationery, kuuza (supply) vitabu na vifaa mbalimbali ktk mashule na vyuo. 12. ** Kutoa ushauri mbalimbali wa Kitaalamu. 13. Kuuza viazi, mahindi, mihogo, kutengeneza popcorn na kuziuza. 14. Kusajili namba za simu na kuuza vocha 15. K...

ZIJUE HAPA LEO : FAIDA ZA KUFUNGUA KAMPUNI

UNATAKA KUFUNGUA KAMPUNI? HIZI NI FAIDA ZA KUFUNGUA KAMPUNI Kama una malengo makubwa nakuomba uwaze kuwa na kampuni hata kama utashindwa kwa sasa ila baadae jitahidi. Kufungua kampuni sio lazima uwe na mtaji, na gharama za kufungua ni ndogo sana. Angalia hapa gharama zake zilivyoanishwa na Brela. Lakini faida ya kufungua kampuni ni kubwa sana sana na ni muhimu sana. Kwa haraka haraka, ukiwa na kampuni; Kodi inatozwa kwenye faida utakayopata (tena hata faida yenyewe unakatwa kodi yake ile faida uliyoshindwa kuitumia). Mfano. Kama niliuza mauzo ya Mil 100, na humo nilipata faida Mil 30, lakini nikanunua gari ya kampuni mil 25, basi kodi nitakatwa kwenye Mil 5.  Kwa Mtu binafsi angekatwa zaidi ya mil 10 Makadirio ya kodi utafanya mwenyewe Inatambulika kisheria(legal entity). Kama una hasara hutakiwi kulipa kodi Huwezi kurisisha Kazi ya kuajiriwa, bali unaweza kurithisha Kampuni. Na pia ni ra...

START YOUR NGO IN TANZANIA

YOUR PROPOSED  NAME - (                                                                             ) Mob................................................................... Email.............................................................................. ORGANISATION SERVICES OR OBJECTIVES (SHUGULI UNAZOTAKA KUFANYA CHINI YA SHIRIKA LAKO) ........................................................................................................................ ........................................................................................................................ ...