Posts

Showing posts with the label Zoom Tanzania

website 10 zinazo toa matangazo ya Ajira hapa Tanzania

Hivi sasa ulimwengu umebadilika, mambo mengi kwa sasa ni digitali na mfumo huu umerahisisha sana maisha katika baadhi ya nyanja muhimu, na moja wapo ikiwa ni secta ya Ajira kwa hapa kwetu Tanzania. Miaka ya nyuma kwa wale wanaotafuta ajira ilikuwa ni lazima kila siku ununue gazeti, tena sio moja bali ni magazeti mengi ili kuweza kutazama nafasi za kazi zilizotangazwa kwa siku hiyo. Magazeti maarufu kwa hapa Tanzania yanayo fahamika mpaka leo hii kwa kutangaza nafasi za ajira ni kama vile Dailynews, The Guardian, The citizen, Mwananchi na mengineyo Lakini leo hii mambo yamerahisishwa sana, unaweza kupata matangazo ya ajira kupitia mtandao na kwa urahisi zaidi tena bila hata yakununua rundo la magazeti, tena kwa gharama ndogo sana ambayo ni internet connection yako tu. Basi leo tuna kufahamisha website 10 zinazo toa matangazo ya Ajira hapa Tanzania 1. Jobs in Tanzania - Tanzania Jobs and Employment Site - Jobs in Tanzania 2. Zoom Tanzania - Tanzania Directory for Busine...