Posts

Showing posts with the label TANGAZO LA KUFUTA USAJILI WA NGOs 100

TANGAZO LA KUFUTA USAJILI WA NGOs 100

TAARIFA KWA UMMA KUFUTWA USAJILI KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (100) KWA KUJIENDESHA KINYUME CHA SHERIA KUANZIA TAREHE 30/03/2016 Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali amefuta usajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiesrikali (NGOs) 100 kwa kuendesha shughuli zao kinyume cha Sheria ya NGOs Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa mwaka 2005. Mashirika hayo ni yale ambayo hayajawasilisha taarifa za mwaka kwa kipindi cha miaka miwili pasipo kutoa sababu za msingi, kutolipa ada ya mwaka au kuendesha shughuli za NGOs bila kusajiliwa chini ya Sheria ya NGOs. Kwa taarifa hii, Mashirika yaliyotajawa hapa chini yamefutiwa usajili na yataarifiwa kusitisha shughuli zao kuanzia tarehe ya tangazo hili (30/03/2016). Baada ya kipindi hicho, Msajili wa NGOs atayachukulia hatua stahiki Mashirika ambayo yatakaidi amri hii na kuendelea na shughuli za NGOs kinyume na Sheria husika. MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (100) YALIYOFUTIWA USAJILI KUANZIA TAREHE 30/3/2016 NI KAMA IFUATAVYO: 1.AFRICAN GENDER AN...