Posts

Showing posts from March 9, 2019
IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana,  Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo  lenye tija kwako na kwa jamii nzima. *HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA* *1. TUMIA UJUZI ULIO NAO* Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa ya kupata wazo la Biashara, Mfano kama wewe umejiliwa na ni Fundi wa kushona Nguo, why usianze na wewe kuwa na biashara ya aina hiyo? Kama wewe ni fundi magari why usianzishe gereji yako? Ujuzi ulianao ndo hazina ya kwanza nay a kipekee ya kupata wazo na mara nyingi wajasirimali wengi waliofanikiwa waliacha kazi wanazo fanya na kwenda kuanzisha za aina hiyo na kuzimiliki wenyewe. *2. BADILISHA HOBBY YAKO KUWA PESA* Hobby ni moja ya maeneo ambayo watu huja kutajilikia, kama wewe hobby yako ni kufuga mbwa  kwa nini usianze hiyo biashara ya kufuga mbwa? Kama Hobby yako ni Kuogelea, kwa nini usinzishe mabwawa ya kuogelea na wengine wakawa wankuja huko kuogelea? Kam unapen