MPANGO WA BIASHARA
Mpango wa biashara ni andiko linalofafanua namna ya
biashara mpya itakavyo anzishwa aunamna itakavyopanuliwa,kuboreshwa ama
kuundwa upya.
Mpango huanza kwa uchambuzi wa soko na
mazingira ili kutambua fursa na changamoto ambazo biashara itakumbana
nazokatika kuanza ama kupanuka
MPANGO WA BIASHARA UNASEHEMU ZIPI?
- Kasha la nje
- Muhtasari wa mpango
- Muhtasari wa biashara
- Muhtasari wa mchanganuowa soko
- Mpango wa masoko
- Mpango wa udhalishaji
- Mpango wa uendeshaji
- Mpango wa fedha
- Mpango kazi wa mwaka wa kwanza
Comments
Post a Comment