JE WAFAHAMU NINI TOFAUTI NA FAIDA YA KUFUNGA KAMPUNI NA KUSAJILI MPYA

Kila kitu kina faida na hasara zake pia
kwa mfano mmiliki anasongwa na matatizo mengi kiasi kwamba inakuwa ngumu kuiendesha biashara yake labda ugonjwa unaohitaji uangalizi wa karibu sana ,au sababu nyingine yoyote ile ambayo ni resoanable na mmliki akawana mawazo haya afunge biashara au aiendeleze?kivipi?
cha kwanza ushajiuliza luhusu VAT,TAX,RETURN ni muhimu kuyatambua haya kabla hujafikia uamuzi huo mengi zaidi endelea kubakia katika ukurasa huu kwa kuendelea kutembelea blog yetu na utajifunza zaidi  au tupigie 0626 402 722

Comments

Popular posts from this blog

Barua ya Kuomba Kazi

ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)