ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA UANDISHI WA ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI
1, tumia Lugha inayojulikana na mataifa Mengi. Hapa tunashauriwa kutumia Lugha ya kingereza, Kwan ndiyo inayotambuliwa na wafadhili wengi. May be Ukiwa unaandikia kwa wafadhili wa ndani ya nchi.
2. Fuata hatua Za maombi - Hii ni kwasababu wafadhili wengi hupenda kutumia muundo wao ambao utaujaza kwa kujibu maswali yaliyoainishwa katika muundo huo ulioandaliwa. ( Tutajifunza kwenye practical )
- Lakini ikiwa Hakuna muundo ulioandaliwa na agencies basi utaandika kwa kufuata vipengere muhimu vya kuvifuata katka uandishi uo ( tutaviangalia soon ).
3. Kuwa makini na tarehe ya Mwisho katika kutuma maombi ya proposal - kosa kubwa linalofanywa na watu wengi ni kutuma maombi tarehe na dakka Za Mwisho. Hii inapelekea mfadhili kutoisoma/ kuifuatilia proposal yako vizuri.
4. Kujua kanuni na taratibu Za mfadhili katika utoaji wa ruzuku- kuzifahamu taratibu na kanuni ni hatua ya msingi katika kupata ruzuku. Kinyume cha hapo hupelekea mradi wako Kushindwa.. Hapa inatakiwa kujua -:
-vipaumbele vyake
- Je maslah ya mfadhili yanaendana na shughul unazofanya / zinazofanywa na taasisi yako?
- maombi yanapaswa kutumwa lini na Mwisho LINI.
5. Hakikisha Lengo la mradi wako linaendana na madhumuni ya taasisi yako - Hakikisha kwamba mradi unaotaka kulitekeleza unakua katika mpango mkakati wa taasisi yako. Mfadhili anapofanya tathimin ya andiko la mradi huangalia kwa Namna gani mradi husika utaenda kutatua tatzo la jamii ambalo Ndio Lengo la taasisi husika.
MUUNDO / AINA ZA ANDIKO LA MRADI
- Kuna miundo mingi ya jinsi ya kuandika proposal , hii ni kutokana na matakwa ya mfadhili.
NB. Lengo Kuu kutekeleza miradi ni kutatua Matatizo / changamoto mbalimbali zinazozikumba jamii zetu.
KARIBU UJIFUNZE JINSI YA KUANDIKA PROPOSAL

Comments

Popular posts from this blog

Barua ya Kuomba Kazi

Jinsi ya Kuandika Ripoti