Tume ya Taifa ya Uchaguzi nafasi za kazi za muda kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura. Taifa ya Uchaguzi nafasi za kazi za muda kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura.



Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza nafasi za kazi za muda kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura.

Kwa mujibu wa tangazo la maombi ya ajira hizo lililosainiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Uchaguzi Mabamba Rajabu Moses, Watanzania wenye umri kuanzia miaka 18 na wasiozidi miaka 45 wametakiwa kuomba

Namna ya Kutuma maombi Bonyeza Hapa>>>https://www.angazetu.com/national-electoral-commission-nec-temporary/

Comments

Popular posts from this blog

Barua ya Kuomba Kazi

ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)