ANDIKO LA MRADI ni maelezo kwa maandishi yanayoonyesha Lengo la kutekeleza/ kutatua Matatizo mbalimbali katika jamii. - ANDIKO la mradi ni Kama daraja ambalo linawaunganisha wadau wenye maono yanayofanana ili kutatua Matatizo katika jamii. -Asasi zisizo Za kiserikari ( NGOs) zinaandika proposal na kuzituma kwa wafadhili ili zipate funds kwa ajili ya kuendesha / kutekeleza miradi na huduma mbalimbali kwa umma. -Sio tu kwa ajili ya kupata fedha, pia andiko la mradi ni muhimu kwani husaidia taasisi nyingi kutekeleza miradi Yao mipya. Wafadhili wengi kutokana na sheria ndogo ndogo ( by law ) wanatakiwa kutoa ufadhili kwa taasisi mbalimbali Kila mwaka ili zitekeleze miradi ya kimaendeleo. Hivyo basi ANDIKO zuri litamshawishi mfadhili kutoa funds kwa taasisi iliyoomba MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA UANDISHI WA ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI 1, tumia Lugha inayojulikana na mataifa Mengi. Hapa tunashauriwa kutumia Lugha ya kingereza, Kwan ndiyo inayotambuliwa na waf...