Uandishi wa ripoti unategemea sana mambo kadha wa kadha kama ilivyoorodheshwa hapa chini:  Ripoti hiyo ni ya aina gani?   Ya Kesi?  Ya Utendaji kazi wa kawaida?  Ya Utafiti?  Ya kuanzisha mradi?  Kusuluhisha migogoro!  Ya shule/chuo  Ya cheo kipi? Afisa, meneja, mkurugenzi  Kwenda kwa nani, afisa, mkurugenzi, bodi   Maswali yanaendelea na majibu yake ndio msingi muhimu wa uandishi wa ripoti  Pamoja na hayo yote, mfumo wa ripoti karibu unafana kwa maeneo muhimu hapa chini:  Mfano ripoti ya Mei 2018   Kasha la nje – Kichwa cha ripoti na mwandishi  Utangulizi  Malengo (Lengo kuu na malengo Mahsusi)  Kazi zilizopangwa kwa mwezi wa Mei 2018  Kazi  zilizotekelezwa kiwango cha utekelezaji na majadiliano yake (Hapa  elezea kwa takwimu na au viashiria, takwimu kama unaripooti matokeo  yanayohesabika au viashiria kama unaripoti matokeo yasiyohesabika)  Kiambatanisho cha ripoti ya fedha(Hiki kipengele ni muhimu kama unasimamia fedha au utendaji wako ulihusisha matumizi ya fedha)  Kazi zilizofanyw...
 
Comments
Post a Comment