TUNAKUSAIDIA KUPATA VIBALI BOT NA LESENI BRELA

 

ETJ.PROFFESSIONAL CONSULTANCY(The Experties in)
💥Sajili kampuni yako au jina la biashara (Business name ) kupitia mfumo wa Brela online registration ofisi zetu tunatoa huduma zifuatazo:
1.kusajili kampuni kupitia Brela online registration kwa ada ya bei nafuu
2.kusajili jina la biashara/Business name
3.updating company na updating Business name/jina la biashara(kwa Kampuni /jina la biashara zilizosajiliwa mfumo wa zaman chini ya mwaka 2018 wanabid wapate update ili Kampuni yao iingie kwenye mfumo mpya wa online
4.Kufile annual returns Brela kwa kampuni kwenye mfumo wa online
5.kufuatilia kibali cha benki kuu tanzania (bot) kwa kampuni za kukopesha (micro finance company) kulingana na sheria mpya ilitungwa na serikal kuwa huduma ndogo za kifedha kusimamiwa na bot(bank of Tanzania/benki kuu tanzania)
6.Tunakusaidia kupata leseni Kwa njia ya online
7.Tunatengeneza company profile
8.Tunaandaa Tender document (vitabu vya tenda) kwa Kampuni ili iweze kupata tenda Mbalimbali
9.Tunatoa huduma online passport na visa application
10.Tunatoa huduma ya work and residence permit kwa foreigners
11.Tunatoa huduma ya logo design na website design kwa Kampuni mbalimbali
12.Tunatoa ushauri na elimu wa jinsi ya ulipaji kodi tra na elimu ya kampuni na uendeshwaji wake.
13.CRB registration/Upgrading
14.WCF,NSSF,VIBALI VYA AJIRA WIZARANI
15.PAYROL PREPARATION
LOCATION:
💥OFISI ZETU ZIPO SONGEA MJINI  NSSF BUILDING GROUND FLOOR
MAWASILIANO
💥Namba ya WhatsApp 25562640722 or+255764530882
email-etj.prof@gmail.com
       KARIBUNI SANA 🙏🙏

Comments

Popular posts from this blog

Barua ya Kuomba Kazi

ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)