TARATIBU ZA USAJILI WA NGO'S CHINI YA SHERIA YA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI NA 24 YA MWAKA 2002

Ili uweze uweze kusajili shirika lako lisilo la kiserikali utapaswa kuambatanisha vitu vifuatavyo kwa mujibu wa sheria za usajili wa mashirika haya:-
1.Katiba ya shirika nakala 3
2.cv za viongozi wa 3 na paspoti(2) kwa kila mmoja
3.Muhtasari wa kikao cha kuanzisha Ngo wenye majina na sahihi za waanzilishi
4.Fomu ya maombi ya usajili(Fomu no 1A)
5.Barua ya utambulisho toka Ofisi ya maendeleo ya jamii ya eneo lako
6.Taarifa nyingine yoyote itakayo hitajika na msajili kutoka kwako

Comments

Popular posts from this blog

Barua ya Kuomba Kazi

ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)