UNAHITAJI KUANDAA KATIBA YA KIKUNDI,SHIRIKA AU CHAMA CHOCHOTE?

UNAHITAJI KUANDAA KATIBA YA KIKUNDI,SHIRIKA AU CHAMA CHOCHOTE?FUATA MTIRIRIKO HUU
   Kwanza kabisa itambulike kuwa Katiba ndiyo msingi mkuu wa shughuli zote za taasisi ,chama,au kikundi husika,katiba ni kama barabara(ramani)itakayo wafikisha katika malengo yenu kusudiwa zingatia hatua zifuatazo katika Uandishi wako kama:-
1.Cover page
2.Yaliyomo
3.Tafsiri ya maneno
4.Utangulizi
5.Jina la taasisi,kikundi,chama pamoja na kifupi chake
6.Malengo ya kuanzisha
7.Aina ya wanachama,haki na wajibu wao na ukomo wao
8.Muundo wa Uongozi
9.Sifa na wajibu wa viongozi
10.Mikutano ya taasisi na kazi zake
11.Usimamizi wa fedha
12.vyanzo vya mapato
13.Mwaka wa fedha wa taasisi
14.Ukomo wa taasisi
15.Majina ya waanzalishili,nafasi zao na anuani zao

Comments

  1. Naomba kuuliza Katiba za Vikundi zinapitishwa na nani?mfano katiba ya Umoja wa wafanyabiashara

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

Barua ya Kuomba Kazi

ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)