BIASHARA 10 UNAZOWEZA KUFANYA KWA MTAJI MDOGO WA TSH. 100,000
Wengi wetu tunaamini kuwa, ili uweze kufanikisha kuanzisha biashara na kuiendeleza vyema ni lazima uwe na mtaji mkubwa wa mamilioni au mabilioni ya pesa.
Ukweli ni kwamba, hiyo ni ngumu sana hasa kwa nchi ambazo ni maskini kama yetu, na ukisema ufate vitu hiovyo kamwe hutoweza kuanzisha biashara. Utasubiri mpaka upate hizo milioni ndipo uanzishe biashara?
Japo inafahamika kabisa kuwa mitaji ndicho kikwazo kikubwa katika kuanza biashara, lakinihupaswi kuogopa, ili ufanikiwe unahitajikujiamini, kutumia kile kidogo ulicho nacho na kuthubutu kufanyakile unachokiamini kuwa utaweza kukifanya na kukimudu.
Wazo la biashara ndicho kitu cha msingi, hayo mengine ya mitaji na vitu vingine yanakuja baada ya kuwa umebainisha wazo lako la biashara unayotaka kufanya.
Wataalamu wa bishara wanaeleza kuwa kuanza ni kugumu na ni kikwazo kikubwa cha mafanikio ya wajasiliamali wengi. Ukweli ni kuwa kuna biashara nyingi tu ambazo hazihitaji mitaji mikubwa kuanza.
Hapa ninakuletea baadhi ya biashara hizo na namna ya kuzifanya kwa kutumia mtaji mdogo wa 100,000 tu na ukafanikiwa kabisa.
1. KUFUNDISHA
Tafuta kitu ambacho unakifahamu na angalia jinsi utakavoweza kutkitumia kufundisha watu wengine amabao wana uhitaji wa kile unachokifahamu.
Kwa mfano unaweza ukawa ni mtaalamu wa kupika keki tamu. Basi unaweza ukaanda darasa la watu katika maeneo unayoishi na kuandaa mafunzo kwa ada ndogo nyumbani kwako.
Unahitaji kiasi kidogo tu cha fedha ili kutimiza hilo.
Pia unaweza ukafundisha watoto masomo ya ziada kama hesabu, kiingereza au sayansi kama unaufahamu wa masomo hayo au mengineyo hapo mtaani kwako.
Vyote hivi havihitaji hela nyingi kuanza kwasababu huhitaji chumba cha biashara wala fenicha (samani).
INAENDELEA....

Comments
Post a Comment