TANGAZO LA KUFUTA USAJILI WA NGOs 100

TAARIFA KWA UMMA KUFUTWA USAJILI KWA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (100) KWA KUJIENDESHA KINYUME CHA SHERIA KUANZIA TAREHE 30/03/2016 Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali amefuta usajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiesrikali (NGOs) 100 kwa kuendesha shughuli zao kinyume cha Sheria ya NGOs Na. 24 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa mwaka 2005. Mashirika hayo ni yale ambayo hayajawasilisha taarifa za mwaka kwa kipindi cha miaka miwili pasipo kutoa sababu za msingi, kutolipa ada ya mwaka au kuendesha shughuli za NGOs bila kusajiliwa chini ya Sheria ya NGOs. Kwa taarifa hii, Mashirika yaliyotajawa hapa chini yamefutiwa usajili na yataarifiwa kusitisha shughuli zao kuanzia tarehe ya tangazo hili (30/03/2016). Baada ya kipindi hicho, Msajili wa NGOs atayachukulia hatua stahiki Mashirika ambayo yatakaidi amri hii na kuendelea na shughuli za NGOs kinyume na Sheria husika.
MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI (100) YALIYOFUTIWA USAJILI KUANZIA TAREHE 30/3/2016 NI KAMA IFUATAVYO:
1.AFRICAN GENDER AND GOOD GOVERNANCE ALLIANCE2.AFRICAN WILDLIFE FOUNDATION3.AGENDA FOR ENVIRONMENTAL AND SUSTAINABLE DEVELOPMENT4.ANTIOKIA MISSION INTERGRATED SOCIAL DEVELOPMENT5.BUSEGWE DEVELOPMENT ASSOCIATION6.BUTIAMA DEVELOPMENT ASSOCIATION7.CARE FOR THE CHILD (CFC)8.CHAKUFAA DEVELOPMENT FOUNDATION9.CHAMA CHA KUSAIDIA WATOTO YATIMA MAKAMBAKO10.COMFORT WOMEN RELIEF FOUNDATION11.COMMUNITY AGRICULTURAL ACTION SERVICES CENTRE12.COMMUNITY SERVICES SUPPORT OF TANZANIA (COSESU-T)13.DAUGHTERS OF ZION FOUNDATION LTD14.DEFENCE OF HUMAN RIGHTS CITIZEN RIGHTS15.DEVELOPERS OF SUSTAINABLE COMMUNITY BASED ACTIVITIES (DESCOBA)16.EDNA DEVELOPMENT FOUNDATION17.EMPOWERMENT AGAINST POVERTY AND HIV/AIDS18.EMPOWERMENT FOR THE DISADVANTAGED COMMUNITY (EDC)19.ENVIRONMENTAL MANAGEMENT AND NUTRITIONAL SERVICES AGENCY (EMA-NUSA)20.GLOBAL VISION TANZANIA (GVT)21.HOPE MISSION OF DEVELOPMENT FOR THE DISABLED (HOMIDED)22.HURUMA CHILD MINISTRY CENTRE23.HURUMA REHABILITATION PROGRAMME24.IMANI WOMEN ECONOMIC EMPOWERMENT ASSOCIATION (IWEA)25.INTERNATIONAL MEDICAL CORPS26.IZAAZ MEDICAL PROJECT27.JUMUIYA EDUCATION BAGAMOYO (JEBA)28.JUNIOR ACHIEVEMENT OF TANZANIA29.KILIMO HAI TANZANIA (KIHATA)30.KUZA EDUCATION DEVELOPMENT31.MANDATE AFRICA FOUNDATION32.MASASI FARMERS ADVOCACY ASSOCIATION (MAFADA)
33. MAZINGIRA INSTITUTE OF TANZANIA (MAI-TANZANIA)34. SUMBAWANGA ESCARPMENT ENVIRONMENTAL CONSERVATION ORGANIZATION (SEECO)35. MFUKO WA MAENDELEO YA WAISLAM MKOA WA RUVUMA36. MKONGO MLOKA DEVELOPMENT ASSOCIATION37. MOROGORO ENVIRONMENTAL CONSERVATION ACTION GROUP38. MUUNGANO DEVELOPMENT ASSOCIATION (MUDEA)39. MWAKALELI COMMUNITYDEVELOPMENT ORGANIZATION (MWACODO)40. MWALIMU NYERERE UWC FOR SELF RELIANCE41. MWANANYAMALA WOMEN LDEVELOPMENT GROUP (MWAWODE)42. NATIONAL LIFE DEVELOPMENT ASSOCIATION43. NJOMBE DEVELOPMENT ORGANIZATION (NDO)44. NORWEGIAN PEOPLE AID45. OLOF PALME ORPHANS CENTRE46. DEVELOPMENT AGENCY PROBATION TIME RESEARCH47. PANGOLIN ELITE SPORTS FOUNDATION48. PERIPHERY AREAS DEVELOPMENT ASSOCIATION (PADA)49. POVERTY ALLEVIATION AND AGRICULTURAL DEVELOPMENT (PADEFO)50. POVERTY FIGHTERS AND CHARITABLE GROUP51. POVERTY FIGHTERS AND DEVELOPMENT SOCIETY OF TANZANIA (POFIDESO)52. PRICESS AGNES FOUNDATION53. PROGRESS ASSOCIATION TANZANIA (PATA)54. PROMOTION OF FARMING AND ORPHANS EDUCATION IN TANZANIA (PROFOET)55. RESTE YOUTH TRAINING TRUST FUND56. RIDHIKA SHIRIKA LA ULINZI NA MAZINGIRA57. RURAL ACCESS TECHNOLOGY INORMATION AND INSTITUTIONAL SERVICES (RATHS)58. RURAL FAMILY LIFE PLANNING ASSOCIATION59. RURAL INITIATIVES FOR DEVELOPMENT OF TANZANIA - RIDE(T)60. RURAL ORIENTED SUSTAINABLE DEVELOPMENT ORGANIZATION (ROSDO)61. RURAL WOMEN DEVELOPMENT ASSOCIATION62. SAMORSES EDUCATION FOUNDATION63. SANTA MERINA EDUCATION FOUNDATION64. SAVE LIFE ASSOCIATION65. SOCIETY FOR RURAL DEVELOPMENT INITIATIVES (SRDF)66. SOLIDARITY WOMEN GROUP (SWG)67. SOLUTION AND OPPORTUNITIES FOR DISADVANTAGED IN AFRICA (SODA)68. SOUTH DEVELOPMENT IN TANZANIA (YODIT)69. SUSTAINABLE INTERGRATED FARMING AND HEALTH IMPROVEMENT TAMADA70. TANZANIA ACTION FOR PASTORAL EDUCATION ADVOCACY (TACEA)71. TANZANIA ASSOCIATION OF ENVIRONMENTAL ENGINEERS (TAEES)72. TANZANIA GIRL'S EMPOWERMENT (TAGE)73. TANZANIA HURUMA AIDS ORGANIZATION (THAO)74. TANZANIA INITIATIVES FOR POVERTY ALLEVIATION (TIPA)75. TANZANIA JOURNALIST ASSOCIATION (TAJA)76. TANZANIA MANGROVE PROTECTION ASSOCIATION (TAMPA)77. TANZANIA MARGINALIZED AREAS COMMUNITY SERVICES FOUNDATION78. TANZANIA SUPPORT AND TRAINING YOUTH AND WIDOWS ASSOCIATION79. TANZANIA TENANTS ASSOCIATION80. TANZANIA YOUTH MUSLIM ASSOCIATION (TAYMA)81. TARIME – SIRARI GROUP (TARSI)
82. TAX SERVICES TANZANIA83. TECHNOWLEDGE TANZANIA (TKTZ)84. TELECOMS AND ELECTRONICS TECHNICIANS ASSOCIATION (TETA)85. TEMEKE DISTRICT YOUTH FOUNDATION (TEYOFO)86. THE HUMAN DEVELOPMENT PROJECTS AND TANZANIA87. NAMTUMBO NETWORK OF CIVIL SOCIETY (NANECISO)88. THE SURVIVAL AFRICA TRUST (SAT)89. THE TANZANIA HERALDS YOUTH SERVICES (THEYS) 90. THE VOICE OF THE AIDS AND ORPHANS (VOTAO) 91. THE WOMEN WIDOW CHILDREN AND FISHERIES DEVELOPMENT 92. TUMAINI ORPHANS AND VULNERABLE CHILDREN CENTRE 93. UMOJA WA DOUYA NA MAKANGAWE (UDOMA) 94. UMOJA WA MADEREVA WA MABASI TANZANIA (UWAMATA) 95. WATOTO CARE ORGANIZATION (WACO) 96. WOMEN AND YOUTH ECONOMIC DEVELOPMENT INITIATIVE (WOYEDE) 97. WOMEN DEVELOPNMENT AND GENDER 99. SAIDIA JAMII YA WAZEE KAGERA SAJAWAKA)100. UKIMWI ORPHANS ASSISTANCE (UKOA)Imetolewa na,
M.S. Katemba
MSAJILI WA NGOs
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
29 Machi, 2016

Comments

Popular posts from this blog

Barua ya Kuomba Kazi

ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)