Utangulizi Kuhusu MEMART
Utangulizi Kuhusu MEMART
Zifuatazo ni hatua na mambo muhimu ya kuyazingatia unapotaka kundika Memart
MEMART ina sehemu kuu mbili
- Memorandum of Association
- Articles of Association
Memorandum of Association
Hii nis ehemu ya kwanza kabisa ya MEMART ambayo ina sehemu kuu nne:- Jina la kampuni
- Ofisi ya kampuni
- Madhumuni ya kuanzisha kampuni
- Majina, anuani, idadi ya hisa na sahihi za wanahisa
- Sahihi ya mwanasheria na muhuri wake kama shahidi
Articles of Association
Hii ni sehemu kuu ya pili ya MEMART ambayo kwa ukweli inatafsiri tu sheria ya Makampuni ya Mwaka 2002 na maboresho yake kama ilivyotolewa kwa miaka tofauti. Inashauriwa kumtumia mwanasheria aliyebobea kwenye haya mambo ya kisheria kwa upande wa makampuni ili akusaidie vizuri namna ya kuiweka sehemu hiiPamoja na mambo mengi ya kisheria sehemu hii pia inatoa fursa ya kuorodhesha wakurugenzi wa kwanza wa kampuni, majina, anuani, idadi ya hisa na sahihi za wanahisa pamoja na sahihi ya mwanasheria na muhuri wake kama shahidi
Ninafundisha namna ya kuandaa na kuandika kwa urahisi Memart (Memorundum and Article of Association) kwa makampuni na mashirika ya uma. Kwa huduma za kusajili Kampuni tuandikie
Comments
Post a Comment