TUJIKUMBUSHE MATUKIO MAKUBWA MATANO YAKIDUKUZI KATIKA MAKAMPUNI MAARUFU
TUJIKUMBUSHE MATUKIO MAKUBWA MATANO YAKIDUKUZI KATIKA MAKAMPUNI MAARUFU Tukiwa tupo ndani ya Mwezi wa kuhamasisha uelewa wa matumizi salama ya mitandao, Marufu kama “NATIONAL CYBERSECURITY AWARENESS MONTH” nimeona si vibaya tukajikumbusha matukio muhimu matano ya kiuhalifu mtandao yaliyojiri mwaka huu. Huku mataifa mbali mbali yakiendelea kujipanga katika mapambano dhidi ya uhalifu mtandao, bado matukio ya kiuhalifu mtandao yameendelea kuitikisa dunia. Yafuatayo ni matukio matano niliyo chagua kuyajadili siku ya leo. NEIMAN MARCUS Mwezi wa pili mwaka huu wa 2014,... ...