TUJIKUMBUSHE MATUKIO MAKUBWA MATANO YAKIDUKUZI KATIKA MAKAMPUNI MAARUFU

TUJIKUMBUSHE MATUKIO MAKUBWA MATANO YAKIDUKUZI KATIKA MAKAMPUNI MAARUFU

Tukiwa tupo ndani ya Mwezi wa kuhamasisha uelewa wa matumizi salama ya mitandao, Marufu kama “NATIONAL CYBERSECURITY AWARENESS MONTH” nimeona si vibaya tukajikumbusha matukio muhimu matano ya kiuhalifu mtandao yaliyojiri mwaka huu.

Huku mataifa mbali mbali yakiendelea kujipanga katika mapambano dhidi ya uhalifu mtandao, bado matukio ya kiuhalifu mtandao yameendelea kuitikisa dunia. Yafuatayo ni matukio matano niliyo chagua kuyajadili siku ya leo.
NEIMAN MARCUS
Mwezi wa pili mwaka huu wa 2014,...




Habari Zinazoendana

2 years ago

Bongo5

Hizi ni sababu inazofanya makampuni makubwa ya teknolojia kununua makampuni madogo/yanayochipukia

‘WhatsApp yanunuliwa kwa dola za kimarekani bilioni 19’, ’Facebook yainunua Instagram kwa shillingi za kitanzania trillioni…’ ni miongoni mwa vichwa vya habari ambavyo si vigeni sana kwenye macho yetu, kampuni fulani kununua kampuni nyingine.
facebook-whatsapp-buy-buyout
Ni jambo la kawaida kwenye ulimwengu wa teknolojia lakini unajua sababu kuu zinachofanya kampuni hizi kumwaga mabilioni ya pesa zote hizo? (Tena kwenye Apps zinazopatikana BUREE kwenye app stores?!Natania kidogo) kaa hapa nikujuze:-
Kuinua thamani ya...

8 months ago

Michuzi

MAKAMPUNI 380 KUONESHA BIDHAA ZAO KATIKA MAONESHO MAKUBWA YA KIMAITAFA UTALII YA KARIBU KILIFAIR MJINI MOSHI

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Kilifair Ltd ,Tom Kunkler akizungumza mbele ya waandishi kuhusu tukio la Maonesho ya Kimatifa ya Utalii ya KAribu Kilifair yanayotaraji kufanyika mjini Moshi ,June 1 hadi 3 mwaka huu.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazini .
MAKAMPUNI 380 yanayojishughulisha na Utalii yanataraji kushiriki Maonesho ya Kimataifa ya Karibu Kilifair huku kampuni ya Kilifair Ltd inayoratibu maonesho hayo ikitangaza kuandaa safari za kifamilia zitakazoshirikisha watu kutoka...

1 year ago

Michuzi

TAARIFA YA MATUKIO MAKUBWA NA MADOGO YA JINAI KATIKA MKOA WA MBEYA




 Ifuatayo ni taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha Januari hadi Disemba, 2017. Taarifa hii inaonesha matukio makubwa na madogo ya uhalifu, matukio ya usalama barabarani, matukio yaliyovuta hisia kwa jamii,  hali ya ulinzi na usalama kipindi cha sikukuu ya Kristmasi na mwaka mpya 2018, mpango mkakati wa Jeshi la Polisi Mbeya na mafanikio yaliyopatikana kutokana na operesheni, misako na doria.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea...

3 years ago

Bongo5

TCRA yayashushia nyundo makampuni matano ya simu

CKcRps5WwAAQTbRMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa adhabu kwa kampuni za simu za mkononi Tanzania kulipa shilingi milioni 25 kwa mamlaka hiyo kama adhabu ya kushindwa kusimamia usalama wa watumiaji wa huduma za Mawasiliano.
CKcRps5WwAAQTbR
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Dkt. Ally Y. Simba
Hii ni taarifa kamili:
1. Katika shughuli zake za udhibiti wa huduma za mawasiliano nchini, Mamlaka ya Mawasilaino Tanzania imepokea malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za mawasiliano dhidi ya kuwepo mazingira yasiyo salama...

2 years ago

Global Publishers

Yapo Mengi Lakini Haya ni Matukio Matano Yaliyoishangaza Dunia


KUNA mambo mengi yamekuwa yakitokea duniani, yanashangaza na wakati mwingine mtu kujiuliza kwamba inawezekanaje jambo hilo kutokea? Tangu dunia ilipoumbwa, kuna mambo mengi yalitokea kuanzia karne ya 18 mpaka karne hii ya 21.
Yapo yaliyotokea kwa makusudi lakini pia yapo yaliyotokea kwa bahati mbaya kabisa ambayo kwa kifupi tungesema Mungu alitaka hayo yatokee ili iwe fundisho kwa watu wanaoshuhudia au akusikia. Haya hapa ni baadhi ya mambo matukio matano ambayo yaliishangaza dunia.

3 years ago

Vijimambo

TUJIKUMBUSHE TULIKOTOKA. JOHN BROWN MPIGANAJI KATIKA KUMALIZA UTUMWA, ALIEJULIKANA KATIKA SHAMBULIO LAKE LA HARPER FERRY 1859

Mwanaharakati John Brown alienyongwa mwaka December 2, 1859 huko west Virgina, ambayo ilikuwa ni sehemu ya state ya Virginia kwa wakati huo, jina lake halitasahaulika kwa harakati zake za kupigania kuondosha biashara ya utumwa.Mji unaojulikana kama Charles Town ni mji iliopo west virginia ambayo zamani ilikuwa virginia wakati huo ambao alikamatwa na kuhukumiwa kunyongwa kwa mwa harakati aliekuwa akinga biashara ya utumwa  Bw. John BrownJefferson County Courthouse. Beginning on October 25,...

4 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Wakuu wa Makampuni makubwa ya India.

Rais wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa katika mazungumzo na Wakuu wa Makampuni makubwa ya India.
Aliwahimiza kuchangamkia fursa za uwekezaji nchini Tanzania. kushoto kwa Mhe. Rais ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Abdallah Kigoda (Mb) na kulia ni kiongozi wa Chama cha Wafanyabiashara nchini India. Mazungumzo hayo yakifanyika katika Hoteli ya Taj Palace jijini Delhi Wakuu wa Makampuni Makubwa ya India wakimsikiliza Rais Kikwete. Baadhi ya Makampuni hayo tayari...

2 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI MATANO YAONDOLEWA KWA NGUVU KWENYE JENGO LA QUALITY PLAZA KWA KUSHINDWA KULIPA PANGO


Hatimaye Makampuni matano yanayomilikiwa na Mfanyabiashara Yusuf Mehboub Manji yameondolewa katika Jengo la Quality Plaza linalomilikiwa na Shirika la Hifadhi ya Jamii la PSPF. Jengo hilo lipo Kitalu Na. 189/2 na liko mkabala na Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam.
Sababu inayotajwa ya Makampuni hayo kuondolewa katika jengo hilo ni deni la kodi ya pango linalofikia kiasi cha Shilingi bilioni 13. Hatua ya kung'olewa makampuni hayo katika jengo hilo  ni baada ya mpangaji kushindwa kuondoka...

Share


Comments

Popular posts from this blog

Barua ya Kuomba Kazi

ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)