Posts

Nafasi ya Kazi: Mhuduma wa Ofisi na wateja

Habari wanajukwaa, tunahitaji kijana kwa ajili ya kuhudumu kwenye ofisi yetu. Kazi utakazokua unafanya ni kama ifuatavyo:- Kupokea simu za wateja na kuwahudumia. Kutafuta wateja kwa njia ya mitandao ya kijamii na kuwatembelea sehem zao. Kutuza kumbukumbu za ofisi . Vigezo Awe na elimu ya kidato cha nne au sita. (Mwenye cheti anaweza kupewa nafasi) Ajue kuzungumza kiswahili na kuandika kwa ufasaha. Ajue kutumia mitandao ya kijamii na "Computer" Kama unakidhi vigezo hivyo, tuma ujumbe mfupi ukielezea wasifu wako kwenda namba 0658123748. Tafadhali usipige simu. Pia ukituma ujumbe mfupi tujulishe na mahali unapoishi, lengo ni kupata mtu anayeishi maeneo ya jirani na ofisi yetu ilipo kuepusha adha ya usafiri. Mlo mmoja wa siku utatolewa na ofisi, pia posho ni mpaka Shilingi Laki Moja kwa mwezi. Pia kutakuwa na bonus za kila mwisho wa wiki kulingana na utendaji kazi na kufikia viwango utakavyopangiwa. Mwisho wa kupokea maombi ni siku ya tarehe 11/04/2019 sa...

Nafasi 197 za Kazi katika Shirika la Umeme nchini TANESCO Kanda ya Kati

The Tanzania Electric Supply Company(TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzanian people. Next to its current passion as a leading provider of electricity is to be more efficient customer focused utility for Tanzania and beyond. The Company has the largest electricity generation, transmission and distribution network in Tanzania. In order to reach its goals, the Company will, in the coming years invest heavily in its generation, transmission and distribution network, its business systems and human capital. TANESCO now invites internal & external applicants who are qualified, self-motivated, honest, hardworking and committed individuals to fill the under-mentioned posts below: Specific attributes for the Positions to be filled: All Candidates must: Have good performance track record Demonstratehighest degree of integrity Be capable of delivering excellent results while working under pressure with tight d...

SUBSCRIBE NA FOLLOW US ON SOCIAL MEDIA ZETU FACEBOOK,INSTA,NA TWITTER

KUPATA NEWS ZOTE UPDATED USISAHAU KUSUBSCRIBE KUDONDOSHA EMAIL YAKO UPOKEE MOJA KWA MOJA KILA KINACHOJIRI KATIKA BLOG YAKO DARASA

JINSI YA KUJISAJILI TOVUTI YA AJIRA ZA SERIKALI (RECRUITMENT PORTAL USER GUIDE)

Image
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT RECRUITMENT PORTAL USER MANUAL Version Control Version Date Author Change description 1.0 28/08/2014 PSRS & eGA Document created 1.1 01/03/2015 PSRS Document updated 1 | P a g e Tips for System Users The proper use of the Recruitment Portal will simplify, improve value for money and enhance Good Governance in recruitment process for Public Service in Tanzania. Therefore all users must ensure that they use the system with integrity. Make sure that you have scanned copies of all your certificates in pdf format so as enable you to complete the process of completing your profile. Help Des...