Posts

Showing posts from 2019

AGIZO KUAPDATE TAARIFA ZA KAMPUNI/JINA LA BIASHARA NDANI YA SIKU 90 NJOO TUKU SAIDIE

TAARIFA KWA UMMA Dar es Salaam, 27 septemba 2019 Hii ni kuutarifu umma kuwa WAKALA WA USAJILI WA BIASHARA NA LESENI (BRELA) inaendelea na zoezi la ihuishaji wa Taarifa za makampuni yaliyosajiliwa nje ya mfumo wa Kieletroniki. Tunapenda kutoa taarifa kwa umma na watu wote wenye makampuni na Majani ya Biashara kuhakikisha wanauhisha taarifa za makampuni yao na Majina ya Biashara katika kipindi cha SIKU 90 kuanzia tarehe ya tangazo hili. MAHITAJI NA TARATIBU ZA UHUISHAJI WA TAARIFA • Muombaji awe na Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIN) ambayo husaidia kufungua akaunti ya BRELA kwenye tovuti ya Wakala. • Endapo maombi ni ya Kampuni unatakiwa kuwa na Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (Tax Identification Number –TIN) ya kila Mkurugunzi na ya Kampuni husika. • Kupitia taarifa za Kampuni na kuhakikisha zipo sahihi kisheria na kikanuni. • Kujaza ‘Consolidated form’ katika mfumo wa ORS na kupakia taarifa zozote zinazohitajika mfano Taarifa ya Mwaka (Annual returns), mabadilik

Trade and Investments

Trade and Investment in Tanzania Tanzania is endowed with many natural resources and investment opportunities. The Government of the United Republic of Tanzania has simplified investment regulations in order to attract investors from around the world. Investment in Tanzania is overseen by the Tanzania Investments Centre (TIC), a one-stop primary Government agency responsible for all investment matters. The TIC is charged with the following functions: Promoting investment activities in Tanzania; Addressing administrative constraints facing local and foreign investors; Assisting in the establishment and registration of enterprise processes; Facilitating investors in obtaining necessary licenses, work permits, visas, approvals, facilities or services; Assisting investors to secure investment sites and the establishment of Export Processing Zone (EPZ) projects especially in the Agricultural, Mining, Infrastructure, Fisheries and Tourism sectors; Granting Certifica

THE WRITTEN LAWS (MISCELLANEOUS AMENDMENTS) (NO.3)

No.9 Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2019 1 THE WRITTEN LAWS (MISCELLANEOUS AMENDMENTS) (NO.3) ACT, 2019 ARRANGEMENT OF SECTIONS Section Title PART I PRELIMINARY PROVISIONS 1. Short title. 2. Amendment of certain written laws. PART II AMENDMENT OF THE COMPANIES ACT, (CAP. 212) 3. Construction. 4. Amendment of section 2. 5. Amendment of section 3. 6. Addition section 3A. 7. Amendment of section 12. 8. Amendment of section 14. 9. Amendment of section 32. 10. Addition section of 400A. ISSN 0856 – 033IX THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA ACT SUPPLEMENT No. 9 30th June, 2019 to the Special Gazette of the United Republic of Tanzania No. 27 Vol 100 dated 30th June, 2019 Printed by the Government Printer, Dar es Salaam by Order of Government No.3 Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2019 2 PART III AMENDMENT OF THE COPYRIGHT AND NEIGHBOURING RIGHTS ACT, (CAP. 218) 11. Construction. 12. Amendment of section 4. 13. Amendment of section 9. 14.

MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, MHE. UMMY A. MWALIMU (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2019/2020

MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, MHE. UMMY A. MWALIMU (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2019/2020 A. UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ndani ya Bunge lako Tukufu, ambayo imechambua Bajeti ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ninaomba kutoa hoja sasa ili Bunge lako likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Wizara kwa mwaka 2018/19 na Vipaumbele vya Wizara kwa mwaka 2019/20. Aidha, ninaliomba Bunge lako Tukufu likubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Kawaida pamoja na Mpango wa Maendeleo wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa mwaka 2019/20. 2. Mheshimiwa Spika, kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kusimama mbele ya Bunge lako Tukufu siku ya leo na kuwasilisha hotuba ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya