1.kwa mtu ambae umemaliza chuo na una uwezo wa kuandika project,kuandaa repoti...basi wewe ni kampuni tosha unaweza ukafungua ofisi yako ukawa unawaandikia na unawasaidia nwanafunzi wengi kuwaandalia final projects kuna wanafunzi wengi hawawezi kuandika projects soo watu wengi huwa wanawandalia final projects na hii unaweza ukakuta cost zao si chini ya laki moja,elfu 80,40, na ukaendelea na maisha kwa kutumia ujuzi 2.kwa mtu ambae ana degree ya accounts plus CPA wengi ya hawa hufungua makapuni ya ukaguzi wa fedha na pia hata kama una mtaji mdogo unaweza ukanunua viti na ubao ukawa unatoa mafunzo kwa wanafunzi wanaosemea masomo ya nabe,atec na mafunzo ya cpe na utapata sana pesa ...ndogo ndogo za kujikimu maana walimu wa haya masomo ni wachache sana. 3.kwa mtu ambae una uwezo wa kutunga stori..una uwezo wa kuandika stori ukatoa kitabu chako na ukapeleleka sokoni mfano wa vitabu ambavyo vipo sokoni ni kama mama yangu anakula nyama za watu, gamboshi hii huwa inalipa sana ...
Posts
Showing posts from February, 2019
MIKOPO KWA TAASISI NA KAMPUNI WAONE HAWA
- Get link
- X
- Other Apps
We are Enterprise Finance Limited. We are the Microfinance Company which provides financial solutions, skills and business connections to our clients. As a bridging financier, we target entrepreneurs, employees, contractors, schools, importers, real estate developers, transporters, service providers, suppliers and other viable clients. Feel free to contact us through the following addresses and contacts: DAR ES SALAAM: Enterprise Finance Limited - White Star Complex - Sinza Opposite Mapambano primary school Tel: +255 22 277 3041 | Mob: +255 653 243 864/768 928 516 | |Email: info@efl.co.tz |Web: ww w.efl.co.tz ARUSHA: SABA PLAZA - 2nd Floor-Office No. 202 - Ndovu Street, 100M from CCM-Head Quarters, Towards Soko Kuu. Mobile: +255 758 978 736/ 0677226960
JIFUNZE KUANDAA -ORGANIZATIONA PLAN
- Get link
- X
- Other Apps

(COMPANY NAME) CO LTD ORGANIZATION PLAN Organization plan is the process of identifying an organization’s immediate and long term objectives and formulating and monitoring specific strategies to achieve them. a) MANAGEMENT TERM I am going to work with seven people as a team work which will be operated as a sole proprietor organization, these people are; 1 st person is ........................ who is the owner of the business; I will be monitor and control all the activities of the organization in general. I don’t have experience in this business so through my team work will help me as some of them are expert in this kind of business. 2 nd person is ……………… who is an Auditor, he will be responsible to maintain the books of accounts by record keeping of each activity that takes place which involve cash transactions. 3 rd person is …………… who is an accountant; he will be responsible to assist an auditor to perform his task in all as...
JE WAFAHAMU NINI TOFAUTI NA FAIDA YA KUFUNGA KAMPUNI NA KUSAJILI MPYA
- Get link
- X
- Other Apps
Kila kitu kina faida na hasara zake pia kwa mfano mmiliki anasongwa na matatizo mengi kiasi kwamba inakuwa ngumu kuiendesha biashara yake labda ugonjwa unaohitaji uangalizi wa karibu sana ,au sababu nyingine yoyote ile ambayo ni resoanable na mmliki akawana mawazo haya afunge biashara au aiendeleze?kivipi? cha kwanza ushajiuliza luhusu VAT,TAX,RETURN ni muhimu kuyatambua haya kabla hujafikia uamuzi huo mengi zaidi endelea kubakia katika ukurasa huu kwa kuendelea kutembelea blog yetu na utajifunza zaidi au tupigie 0626 402 722
KIAMILI CSEE RESULT FORM FOUR 2018
- Get link
- X
- Other Apps
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA CSEE 2018 EXAMINATION RESULTS S3633 KIAMILI SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0; DIV-II = 4; DIV-III = 17; DIV-IV = 84; DIV-0 = 41 CNO SEX AGGT DIV DETAILED SUBJECTS S3633/0001 F 30 IV CIV - 'F' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'D' B/MATH - 'F' S3633/0002 F 32 IV CIV - 'F' HIST - 'D' GEO - 'F' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F' S3633/0003 F 34 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F' S3633/0004 F 34 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F' KISW - 'D' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F' S3633/0005 F 34 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO - 'F'...