Anatafutwa clinical officer kwa ajili ya kazi

awe mwanaume au mwanamke ,
sehemu ya kazi ni morogoro wilaya ya mvomero.


kama una ndugu au rafiki anahitaji kazi mwambie na mhakikishie hakika kazi amepasha pata,
anipigie kwa namba

0625 66 92 54 kwa ajili ya interview.



NB; hakuna habari za nisaidie nitakupa kitu kidogo,

weledi kwanza , rushwa baadae.


wa salaaam.

Comments

Popular posts from this blog

Barua ya Kuomba Kazi

ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)