- Get link
- X
- Other Apps
Anahitajika mfanyakazi awe mwanamke umri kati ya miaka 20 hadi 35 kwa ajili ya kazi ya computer application
Mwenye cheti cha certificate au Diploma ya Information Technology, computer science, computer application au course yoyote inayoendana na hizo
Mshahara Tsh 150,000 kwa mwezi
Awe anatokea Dodoma au awe anaweza kuishi Dodoma
Kwa ajili ya kazi tuma CV yako kwa email: chiefcomputertech@gmail.com
Mwisho wa kutuma maombi ni 28/04/2019

Comments
Post a Comment