jifunze kuandika barua ya maombi yenye mvuto kwa mwajiri

imezoeleka copy and paste ulichokieleza maombi ya kazi ile ndiyo yale yale yanapatikana tena kwenye maombi mapya huwezi kupata kazi kwa mtindo huu hata sisi wenyewe tunashare je waajiri hawezi kufanya hivyo badirika kuwa mbunifu na unayeenda na wakati ukiona huwezi tafuta mtu ambaye yuko competent kwenye nyanja hiyo akusaidie usiogope kwani woga wako ndo umasikini wako endelea kupitia blog yetu utajifunza mengi zaidi

Comments

Popular posts from this blog

Barua ya Kuomba Kazi

ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)