Posts

Showing posts from April, 2019

ANAITAJIKA-MPISHI WA CHIPS NA KUKU WA SEKELA

ANAITAJIKA MPISHI MWENYE UZOEFU MKUBWA WA KUPIKA CHIPS ZA AINA TOFAUTI PAMOJA NA KUKU WA SEKELA NA UCHOMAJI WA NYAMA. OFFICE NI MPYA MAENEO YA MIKOCHENI KWA WARIOBA. MALIPO NI MAZURI KUTOKANA NA UZOEFU NA KUJITUMA KATIKA KAZI PIA. PIGA 0743 319 304 KWA MAELEZO ZAIDI

Nafasi ya kazi ya ulinzi

Wakuu anaitajika mlinzi mmoja wa kulinda eneo kubwa,garage apa dar. Malipo 150,000/= Kula na kulala ni apapa

Tutumie message yenye neno"KAMPUNI" Whatsapp namba +255764530882 kupata maelezo zaidi juu ya huduma yetu* Karibu Sana TJ CONSULT & CO.LTD kwa kazi zote za Graphics design ... Tuna design Logo, Company profile

Habari Mjasiliamali na mpambanaji, Inawezekana bado unajiuliza na kujishauri kuhusu umiliki wa kampuni au urasimishaji wa biashara zako lakini bado hujafikia muafaka, na pengine hujawahi hata kufikiria kabisa na hapa huenda ikawa ni mara yako ya kwanza kufahamu kuhusu makampuni, hali hiyo hupelekewa na sababu mbalimbali ikiwemo kutokujua kabisa, yaani mtu mwingine akisikia neno ‘Kampuni’ tayari yanamuijia kichwani kwake majengo makubwa, magari, wafanyakazi wengi watanashati, akaunti ya fedha benki yenye pesa nyingi, n.k. hivyo mtu huyo hujiona yeye sio hata wa kulitaja neno kampuni. Pia sababu nyingine kutokuelewa ni namna gani biashara zake zinaweza kusajiliwa na kuendeshwa kama kampuni, na zaidi ni kutokuelewa umuhimu wa kuwa na kampuni, yaani unakuta mtu anafanya biashara nyingi na kubwa mfano kusafirisha mbao kutoka mkoa wa Iringa kuleta Jijini Dar es Salaam, au kutoa samaki Mwanza kuleta Dar es Salaam, au biashara ya kukopesha pesa, n.k. lakini anaona biashara zinakwenda vi

ACHANA NA NENDA RUDI TOKA ULIKO KUJA DODOMA KUSAJILI TU AU KUFATILIA NGO YAKO

EPUKA HIZI HABARI ZA NENDA RUDI NA MAGHARAMA KIBAO KWAAJILI YA KUJA KUFATILIA MAOMBI YA USAJILI WA SHIRIKA TU  MFANO UNAKUJA UNAREKEBISA PREAMBLE THEN USABUMIT URUDI AFTER ONE WEEK UJE TENA UKAANDAE MUHTASARI WA JINA LILILOPENDEKEZWA SASA UENDE URUDI AFTER ONE WEEK UJE UFANYE MALIPO URUDI AFTER ONE WEEK UFATILIE CHETI BADO MUHUSIKA HAJAUMWA HAJAPATA UDHURU WAKATI SISI TUPO KWAAJILI YA KAZI HIZI HEBU TUTUMIE TUTUME UPENDAVYO JUST LIKE JOKES BUT WATU WANAPITIA HUMO HUMO ILA WANAVUNGA TU COST KIBAO SAWA NA FEDHA YA KUSAJILIA MASHIRIKA MANNE NO.MAWASILIANO YAKO HAPA .www.techniwise.blogspot.com

Halmashauri ya Manispaa ya Temeke yatangaza nafasi 4 za kazi

Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke anawatangazia Wananchi/Watanzania wote wenye sifa zinazotakiwa kuomba kujaza nafasi mbalimbali za kazi kama zilivyoainishwa hapo chini:- AFISA MTENDAJI MTAA DARAJA LA III (Nafasi 1) SIFA/ELIMU/UJUZI Elimu ya kidato cha Nnne (IV) , au Kidato cha Sita (VI,) Cheti(Astashahada) cha, Utawala, Sheria, Elimu yajamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya jamii na Sayansi kutoka Chuo cha Serikali ya Mitaa Hombolo,Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali. NGAZI YA MSHAHARA Ataanza mshahara TGS B kwa mujibu wa viwango vya Serikalini. UMRI Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45. MAELEZO YA JUMLA Maombi yote yawasilishwe yakiwa yameambatanishiwa na CV pamoja na nakala za vyeti vya kuhitimu elimu na mafunzo (vyeti vinavyoonyesha kiwango cha kufaulu na sio 'leaving certificate') MUHIMU Muombaji anatakiwa atume vyeti vyake halisi na halali kwani uhakiki utafanyika katika vyuo alivyopi

Nafasi za kazi 55 kutoka Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) Kanda ya Magharibi

Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) is implementing its strategies to increase access and connectivity of its energy services and products for Tanzanians to support the government’s industrialization agenda. The company is currently expanding its business by investing heavily in generation, transmission and distribution network. In line with this, TANESCO now invites INTERNAL & EXTERNAL applicants who are qualified, self-motivated, honest, hardworking and committed individuals to fill the under-mentioned position under SPECIFIED PERIOD EMPLOYMENT TERMS OF TWELVE(12) MONTHS PERIOD in Tabora, Katavi and Shinyanga regions. SPECIFIC ATTRIBUTES FOR THE POSITION TO BE FILLED: All Candidates must: Demonstrate impeccable performance track record Demonstrate highest degree of integrity,credibility, and character Be capable of delivering excellent results while working under pressure with tight deadlines. Excellent communication, creative, innovative and te

Nafasi ya Kazi katika Chuo cha Ufundi Stadi, VETA-Kanda ya Moshi. Accounts Officer II

The Vocational Education and Training Authority (VETA) is an autonomous Government Agency established by the Act of Parliament No. 1 of 1994. VETA is responsible for regulating, coordinating, financing and providing Vocational Education and Training in Tanzania. Moshi Regional Vocational Training Centre is one of 29 centers owned by the Vocational Education and Training authority (VETA) and it was established in 1980 and inaugurated in 1984 by Mwalimu Julius K. Nyerere to serve the population of Kilimanjaro Region and surrounding areas. VETA Moshi RVTSC is looking for qualified, competent, dynamic and committed Tanzanians to fill the following vacancies on contract terms. Job Title : Accounts Officer II- 1 Post Duty Station : Moshi RVTSC Reporting relationship : Bursar Main Duties: Preparation of all types of payment in the Navision accounting system and timely payment of suppliers and internal customers after approval of payments; Receiving and recordin

Ni swali gani uliwahi kuulizwa kwenye interview likakuacha hoi?

Tuambie wasaidie na wengine wasikwame ulipokwama comment hapa chini

Nafasi za Kazi 333 kutoka Mamlaka ya Bandari Tanzania

VACANCIES ANNOUNCEMENT ​ On behalf of Tanzania Ports Authority (TPA), Public Service Recruitment Secretariat invites dynamic and suitably qualified Tanzanians to fill 333 vacant posts. INTRODUCTION: Tanzania Ports Authority (TPA) was established under the Ports Act No. 17 of 2004. The Authority is vested with the obligation and responsibility of developing, managing and promoting the maritime sector in Tanzania mainland. The major role of TPA is to enhance the advantages of the geographical position of Tanzania’s maritime resources to fulfill its mandates including provision of services in relation to loading and unloading of cargo and passenger services at all ports in Tanzania. TPA’s vision is to lead the regional maritime trade and logistics services to excellence and its mission is to develop and manage ports that provide world class maritime services and promote excelling logistics services in eastern, central and southern Africa. TPA continues to undertake