ZIJUE MAMLAKA HIZI MUHIMU KATIKA OPARATIONS ZA KILA SIKU ZA BIASHARA/KAMPUNI YAKO?

Ikumbukwe kuwa hapa tunazungumzia biashara zile zinazoendeshwa kwa taratibu za kimamlaka yaani zilizosajiliwa kama registered business lazima utakuwa unaifahamu TRA,HALMASHAURI?NA VYOMBO VINGINE KAMA OSHA,FIRE,NA ZINGINE NYINGI UNAHITAJI KUZIJUA NI NI MAJUKUMU YAKE?BAKI HAPA techniwise(means teknolojia imekua ukiwa nasi utawafikia walengwa wako) tutizame moja baada ya jingine ili usitoke kama ulivyoingia techniwise:-
  1. TRA-Hii inajulikana kama mamlaka ya mapato Tanzania(TANZANIA REVENUE AUTHORITY) masuala yote ya kodi,TIN=moja ya vigezo vya kufikia hatua ya umilikiwa kampuni/Biashara yako kisheria ni lazima uwe na TIN(TAX PAYER IDENTIFICATION NUMBER) na hii hutolewa TRA pekee na kodi zingine kama SDL,PAYE,INCOME TAX and other issues conserning revenue hii ni kwa ufupi tu ujue ni kina nani au mamlaka zipi unapaswa kuwa nazo kama msaada wa kuendesha biashara yako on day to day basis 
  1. HALMASHAURI-Hapa napo utafika pia baada ya kutimiza masharti na vigezo vya kusimamisha biashara yako/kampuni yako ni lazima uende kuonana na Afisa Biashara wa eneo lako unakoendeshea shughuli zako hapa ni baada ya kutoka TRA kulipia mapato na kupatiwa TAX CLEARLANCE CERTIFICATE hapo utapatiwa Leseni yako tayari kwa kuanza shuyghuli zako kihalali kabisa hapa ni kwa wale wa biashara zisizo kuwa katika mfumo wa kampuni,Kama upo katika mfumo wa kampuni au una ndoto za kuingia huko usisite kuwasiliana nami kwa namba zinazopatikana katika blog hii
  2. OSHA-Usalama mahali pa kazi ni jambo la muhimu na ni lakuzingatiwa sana kwa wale wa viwandani,barabarani,sehemu zenye kuhitaji uangalizi mkubwa kama majengo marefu marefu,usafi maofisini,barabarani vyoo na nk hakikisha una vifaa maalumu vya kutendea kazi zakoMfano.helmet,mask,buti,gloves,overall nk.
  3. FIRE-Nafikiri utakuwa ushawahi kuwasikia hawa au kukutana nao kabisa ni muhimu kwa kuwa na mitungi ya gesi ya kuzimia moto kujikinga na majanga ya moto pindi yatokeapo ni muhimu kuchukua tahadhari na ni lazima kwa mujibu wa sheria 
 Unapenda kutushauri chochote kuhusiana na kazi zetu za kuwasogezea umma mambo haya,Maoni,au unapenda kufanya kazi na sisi usisite kutuandikia kupitia kurasa zetu facebook,instagram,twitter,e-mail,wasap,pinrest,linked yoote haya utayapata na kutufikia kwa urahisi kabia kwa kutembelea blog yetu ya techniwise.blogspot.com


tupigie/sms-0764530882


Comments

Popular posts from this blog

Barua ya Kuomba Kazi

ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)