Vigezo vya kupata mkopo Benki



Vigezo vya kupata mkopo Benki


  1. Uwe na shughuli/biashara rasmi…. hii inammanisha kuwa lazima uwe na leseni ya biashara, leseni hizi hutolewa na afisa biashara wa wilaya yako.
  2. Uwe na namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN), hii itasaidia kudhibitisha kuwa wewe ni mlipa kodi
  3. Uwe na dhamana, yaweza kuwa nyumba, shamba, kiwanja
  4. Uwe na barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa
  5. Uwe na kitambulisho
  6. Uwe na akaunti xxxxx au benki nyingine yoyote. Kama una akaunti benki nyingine utatakiwa kupeleka taarifa ya akaunti yako (Bank statement).

Comments

Popular posts from this blog

Barua ya Kuomba Kazi

ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)