Posts

MKATABA WA PANGO LA CHUMBA CHA BIASHARA

MKATABA WA PANGO LA CHUMBA CHA BIASHARA: Mimi ………….. wa S.L.P. …………. – (eneo) mkazi wa ………………. leo tarehe …………. 2019 nimeingia mkataba wna Ndugu ………………… wa S.L.P. ………….. – Songea kupanga chumba cha biashara kwenye nyumba iliyopo …………….. Shughuli ya biashara itaanza tarehe …………….. baada ya kukamilisha taratibu za kuanza biashara, hivyo pango litahesabika kuanzia tarehe hiyo. Mkataba huu ni wa miezi mitatu baada ya hapo nitaamua kuendelea au vinginevyo. Pango la chumba kwa mwezi ni Tshs: ……………./= kwa mwezi. Huduma za umeme. na maji zitategemea matutumizi kupitia metre separator au mita yangu mwenyewe. Mkataba huu nimeingia nikiwa na akili timamu na kushuhudiwa na: - …………………………….           …………………………………        ……………………………..      (……………….)                           ...

KARIBU TUKUFANYE UITAMBUE BIASHARA YAKO

Jifunze ujifunze ili ujue kama unatengeneza faida au upo katika upande wa hasara tufanye tukutumikie unufaike tupigie 0764 530 882

JIFUNZE KUTENGENZA PESA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII

Imezoeleka sana kwa watu wengi kuytumia mbs zao kuchati tu lakini unaweza kutengeneza pesa kupitia mbs zako kujifunza zaidi karibu kwetu

Kazakh: Binadamu wa dhahabu kuzikwa tena, baada ya kufukuliwa miaka 50 iliyopita

Image
Kazakhstan itazika tena mabaki ya mwili wa shujaa wa kipekee katika hifadhi ya kihistoria kwa ajili ya watu wa baadae. Matumaini yao ni kwamba vizazi vya baadae watafanikiwa kugundua asili ya mtu huyo. Wanahistoria waligundua mabaki hayo yakiwa yamembatana na silaha za dhahabu safi pamoja na sanaa mbali mbali za thamani wakati wakichimba katika makaburi ya Issyk kusini mwa nchi hiyo mwaka 1969, na hapo hapo wakampa jina la "binadamu wa dhahabu". Tangu uhuru mwaka 1991 amekuwa ni ishara ya urithi wa asili wa taifa huko Kazakhstan. Silaha yake ya dhahabu imekuwa ni kitu cha kujivunia na imehifadhiwa katika hifadhi ya taifa ya Astana, pia hudhuru sehemu mbali mbali duniani kama alama ya tamaduni ya Kazakh. Serikali yazima jaribio la mapinduzi Gabon Kinywaji kinachodaiwa kuwa na 'Viagra' kuchunguzwa Uganda Haki miliki ya picha ...

Uchaguzi DRC: Martin Fayulu anataka kura zihesabiwe upya

Image
Uchaguzi DRC: Martin Fayulu anataka kura zihesabiwe upya Saa 6 zilizopita   Image caption Martin Fayulu (wa pili kutoka kulia) akiwa mahakamani siku ya Jumamosi Mgombea wa upinzani katika uchaguzi mkuu uliyofanyika nchini Jamhuri ya kidemocrasia ya Congo amewasilisha kesi katika mahakama ya katiba kupinga matokeo ya uchaguzi huo. Martin Fayulu anasisitiza kuwa alishinda uchaguzi huo lakini tume ya uchaguzi ikamtangaza mshindani wake Felix Tshisekedi kuwa mshindi. Anamlaumu Tshisekedi, ambaye pia alikuwa mgombea wa upinzani kwa kushirikiana na rais anaeondoka madarakani Joseph Kabila. FBI 'ilimchunguza Trump kuhusiana na Urusi' Fahamu historia ya pasipoti duniani Acacia yalimwa faini ya milioni 300 Tanzania Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, wakili wake Feli Ekombe amesema: ...

Mtaalamu bingwa wa afya ya akili kutoka Tanzania kutuzwa Marekani

Mtaalamu bingwa wa afya ya akili kutoka Tanzania kutuzwa Marekani 9 Juni 2018 Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Email ...

Rais Donald Trump na Melania wawatembelea ghafla wanajeshi wa Marekani nchini Iraq

Image
27 Disemba 2018 Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako ...