Kwa nini misikiti imeshambuliwa huko New Zealand? Huu ndio ukweli ambao hausemwi.

Nimesomasoma mtandaoni nikitaka sababu gani wazungu wamewashambulia ili kufukuza Waislam nchini kwao...

Kuna conspirancy fulani inaenezwa kwamba eti Waislam wanahamia Ulaya ili wageuze nchi za Ulaya ziwe za Kiislam.
Sasa hizi theory ndio zinawakasirisha wazungu ambao wanataka kulinda utamaduni wao wa Kizungu kama Waislam wanavyotaka kulinda utamaduni wao wa Kiislam kwenye nchi zao

Wazungu wanadai Uislam haupo compatible kabisa na tamaduni za Ulaya kama vile

1.Uhuru wa kuabudu: Ulaya mtu wa dini yeyote kama vile Budha, Hindu, Mkristu, Mpagani n.k unaruhusiwa ili mradi tu ufuate sheria za nchi, ila kwenye nchi za Uislam hauvumilii kabisa dini nyingine, makanisa hayaruhusiwi na mtu ukiacha Uislam ukajiunga na Dini nyingine adhabu yake ni kali, inaweza kuwa kifo nchi nyingine

2. Usawa wa kijinsia: Ulaya wanaamini mwanaume na mwanamke wanatakiwa wawe na haki sawa, ila katika Uislam, mwanamke ni kiumbe duni sana, mfano Saudi Arabia mwanamke hatakiwi kutoka kwenda kazini, anashinda nyumbani tu, akitaka kutoka inabidi aombe ruhusa kwa mtu yoyote wa kiume hata kana ni mdogo wake wa mwisho

3. Demokrasia: Wanadai Uislam hauchangamani na Demokrasia, Nchi nyingi za Kiislam zinaongozwa na wafalme au madikteta wa muda mrefu kama vile Iran, Saudia, Jordan, Sudan, Syria n.k

4. Uhuru wa maoni: Nchi nyingi za Kiislam hazina uhuru wa maoni, ukikosoa au kutoa changamoto kwenye baadhi ya tamaduni zao au uongozi, adhabu yake huwa ni kali

Sasa wazungu wenye misimamo mikali ya kizalendo hawataki Waislam nchini kwao maana watazigeuza kuwa kama nchi za Kiislam

Comments

Popular posts from this blog

Barua ya Kuomba Kazi

ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)