NEW ZEALAND: Seneta ashambuliwa baada ya kuwalaumu Waislamu kwa shambulio la Msikitini

Seneta Fraser Anning wa Jimbo la Queensland nchini Australia amepigwa na yai na kijana mmoja baada ya kudai Waislamu wanaohamia New Zealand ndio chanzo cha shambulio lililotokea Msikini na kuua watu 49

Baada ya kupigwa na kijana huyo Seneta Anning alishindwa kujizuia na kuanza kupigana naye kabla ya kuamuliwa

Kijana huyo alichukua uamuzi huyo kwa maelezo kuwa hakupendezwa na tuhuma hizo za Seneta huyo mbele ya Waandishi wa Habari

=======
Australian senator egged after racist comments on New Zealand
Senator Fraser Anning drew international condemnation for blaming attack that killed 49 Muslims on immigration.

A far-right Australian senator had to be restrained by security officials after punching a young man protesting his offensive comments about the mosque attacks in Christchurch, New Zealand.

Queensland Senator Fraser Anning drew international condemnation for his efforts to blame the attack on Friday that killed 49 Muslim worshippers on immigration.

Amid the controversy, an unnamed young man slapped an egg on the back of Anning's head during a news conference in Melbourne, prompting the senator to hit him in the face repeatedly before being stopped by what appeared to be a security guard.

In a statement on Friday, Anning had said the attack which killed the worshippers in the southern New Zealand city was the result of Muslim immigration into the country

Comments

Popular posts from this blog

Barua ya Kuomba Kazi

ANDIKO LA MRADI WA KUOMBA UFADHILI

Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)