Walipukiwa na mabomu wakitaka kulipua kanisa
- Get link
- X
- Other Apps
Washambuliaji wawili wa kujitoa mhanga ambao
walikuwa kwenye harakati za kutekeleza shambulizi la bomu katika kanisa
moja kaskazini mashariki mwa Nigeria wameripotiwa kufa baada ya bomu
waliokuwa nayo kulipuka kimakosa kabla ya kufika kwenye kanisa
walililokuwa wakilenga.
Kwa mujibu wa ripoti za polisi, washambuliaji hao walikuwa watatu lakini mmoja akatoroka alipoona wenzake wamelipuliwa. Polisi wamesema kwamba washambuliaji hao walikuwa wakielekea katika kanisa la Seminari kwenye jimbo la Adamawa kutekeleza shambulizi hilo. Polisi wanashuku kwamba kundi la kigaidi la Boko Haram lilihusika kwenye tukio hilo.
Source:- China Xinhua News

Comments
Post a Comment