Posts

Showing posts from January, 2019

kama unataka kampuni basi inabidi uwe na mambo yafuatayo

kama unataka kampuni basi inabidi uwe na mambo yafuatayo 1.Wamiliki wasiopungua wawili pamoja na mgawanyo wa umiliki(shares) 2.Mahali walipo Wamiliki (physical location) 3.Sehemu unayotarajia biashara kuwepo(business location) 4.Utatakiwa kuandaa katiba ya biashara yako( kisheria inaitwa Memorandum and Article of Association) 5.Unaweza andaa mwenyee au ukatafuta Mwanasheria 6.Usajiri unafanywa online kupitia BRELA 7.Jina la kampuni lisilo fanana na kampuni yoyote iliyosajiliwa BRELA 8.Gharama ya usajili italingana na mtaji wako 9.Hatua zingine zinaweza fuata baada ya hii...km kutafuta leseni..TIN number n.k 10.Haya ni mawazo yangu wadau wengine wanakaribishwa kuchangia Kwa msaada zaidi unaweza nipigia kupitia 0764530882 NoTE: Remember any business to succeed is all about branding and Serious planning karibu Kwa msaada zaidi kama utaridhia ukinipa mahitaji yoote yahusuyo usajili wa kampuni ...naweza kukufanyia procedure zote unakabidhiwa kampuni mkononi(full legal docu

Barua ya Maombi ya Kazi Kupitia Email (Barua Pepe)

Image
Utangulizi Kuelekea maendeleo ya sayansi na teknolojia (teke linalokujia) na hasa kwenye nyanja ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) makampuni na waajiri wengi sasa wanataka maombi ya kazi yafanywe kwa email au barua pepe (sio barua pepo) Maombi ya kaz kupitia email husaidia yafuatayo: kuokoa gharama kama za uchapaji na usafiri kuokoa muda wa barua kutoka kwa muombaji mpaka imfikie mwajiri Kuharakisha pia mawasiliano baada ya maombi kutumwa Kama utaomba kazi kupitia email zingatia yafuatayo: Tumia email yenye majina yako rasmi. Mfano kama wewe ni Theodory Edmund Ngonyani, email iwe hivi. theodoryngonyani@yahoo.com, theodoryngonyani@outlook.com NK. Angalau majina yako mawili yatokee kwenye email ID. Unaweza hata kuongeza namba kama majina yako mawili hayapatikani. Kumbuka hii itaongeza kuaminiwa na mwajiriwa mtarajiwa kuliko kutumia email kama dumelamji@gmail.com au dijose@gmail.com NK Tumia pia email zenye kufuata weledi wa kimataifa. Mfano siwashauri watu

Utangulizi Kuhusu MEMART

Image
Utangulizi Kuhusu MEMART   Namna Rahisi ya Kuandika MEMART – Memorandum and Article of Association Zifuatazo ni hatua na mambo muhimu ya kuyazingatia unapotaka kundika Memart MEMART ina sehemu kuu mbili Memorandum of Association Articles of Association Memorandum of Association Hii nis ehemu ya kwanza kabisa ya MEMART ambayo ina sehemu kuu nne: Jina la kampuni Ofisi ya kampuni Madhumuni ya kuanzisha kampuni Majina, anuani, idadi ya hisa na sahihi za wanahisa Sahihi ya mwanasheria na muhuri wake kama shahidi Articles of Association Hii ni sehemu kuu ya pili ya MEMART ambayo kwa ukweli inatafsiri tu sheria ya Makampuni ya Mwaka 2002 na maboresho yake kama ilivyotolewa kwa miaka tofauti. Inashauriwa kumtumia mwanasheria aliyebobea kwenye haya mambo ya kisheria kwa upande wa makampuni ili akusaidie vizuri namna ya kuiweka sehemu hii Pamoja na mambo mengi ya kisheria sehemu hii pia inatoa fursa ya kuorodhesha wakurugenzi wa kwanza wa kampuni, majina, anuani,

Vigezo vya kupata mkopo Benki

Vigezo vya kupata mkopo Benki Uwe na shughuli/biashara rasmi…. hii inammanisha kuwa lazima uwe na leseni ya biashara, leseni hizi hutolewa na afisa biashara wa wilaya yako. Uwe na namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN), hii itasaidia kudhibitisha kuwa wewe ni mlipa kodi Uwe na dhamana, yaweza kuwa nyumba, shamba, kiwanja Uwe na barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa Uwe na kitambulisho Uwe na akaunti xxxxx au benki nyingine yoyote. Kama una akaunti benki nyingine utatakiwa kupeleka taarifa ya akaunti yako (Bank statement).

Jinsi ya Kuingiza Taarifa za Kampuni Kwenye Website ya BRELA

UTANGULIZI Kuanzia tarehe 1 Februari 2018 BRELA ilitangaza kuanza kutumika kwa mfumo wake wa kuwawezesha wamiliki wa makampuni kusajili na kuwasilisha returns BRELA. Pia BRELA ilishatangaza kwamba mnamo tarehe 25 Machi 2018 mfumo wake wa awali wa OBRS uliokuwa unaruhusu kusajili jina la biashara na kufanya clearance ya jina la kampuni kupitia website ungefungwa rasmi ili kuuruhusu mfumo mpya wa ORS wenye uwezo wa kusajili majina ya biashara na makampuni kufanya kazi rasmi. Hatua zifuatazo zinawawezesha wamiliki, wasimamizi wa makampuni na biashara kuingiza taarifa zao kwenye tovuti ya BRELA Kwa wale wanaohitaji kuingiziwa taarifa za kampuni chapu chapu tafadhali wasiliana nami kupitia namba za simu hapo chini au kwenye ukurasa huu  Hatua #1: Taarifa za msajili Ili kutumia mfumo huu mpya wa ORS mteja (msajili) anayetaka kusajili jina la  kampuni anatakiwa kuwa na taarifa za msajili (msajili anaweza kuwa ni mmoja wa wakurugenzi, Katibu au Wanachama/Wenye hisa

MPANGO WA BIASHARA

Mpango wa biashara ni andiko linalofafanua namna ya biashara mpya itakavyo anzishwa aunamna itakavyopanuliwa,kuboreshwa ama kuundwa upya. Mpango huanza kwa uchambuzi wa soko na mazingira ili kutambua fursa na changamoto ambazo biashara itakumbana nazokatika kuanza ama kupanuka MPANGO WA BIASHARA UNASEHEMU ZIPI? Kasha la nje  Muhtasari wa mpango Muhtasari wa biashara Muhtasari wa mchanganuowa soko Mpango wa masoko Mpango wa udhalishaji Mpango wa uendeshaji Mpango wa fedha Mpango kazi wa mwaka wa kwanza Kujua zaidi au ukihitaji msaada wa kuandaliwa maana tunajua kusoma pekee haitoshi kama unauhitaji wasiliana nami kwa namba 0626 402 722 kwa huduma za usajili wa kampuni brela,majina ya biashara,wasifu wa kampuni,kuandaa hesabu za biashara (individual/company)usisite kuwasiliana nami namba tajwa hapo juu email: bizewiseconsultancy@gmail.com au theo350789@gmail.com

We assist you with: -

We assist you with: - ​ Company and Business Names Registration: Registration of the Companies and Business Names in Tanzania at the relevant authorities including Business Registration and Licensing Authority (BRELA), Tanzania Revenue Authority (TRA), Business Licensing Authority (Municipal, e.t.c Data Collection Services: Research, Baseline Survey in Legal and Human Rights, Marginalized Groups, Gender, Good Governance and Administration, Youth and Entrepreneurship,Business and Market analysis/trend e.t.c. Drafting of the Documents: Court Pleadings, other law and legal documents ; Contracts/Agreements/Memorandu m of Understanding/Consent; Constitution of NGO, Association and other group;  , Official Letters; Corporate/organization/individ ual profile, Strategic Plan, Work Policies and Manual; Research Proposal, Reports, e.t.c.

MKATABA WA PANGO LA CHUMBA CHA BIASHARA

MKATABA WA PANGO LA CHUMBA CHA BIASHARA: Mimi ………….. wa S.L.P. …………. – (eneo) mkazi wa ………………. leo tarehe …………. 2019 nimeingia mkataba wna Ndugu ………………… wa S.L.P. ………….. – Songea kupanga chumba cha biashara kwenye nyumba iliyopo …………….. Shughuli ya biashara itaanza tarehe …………….. baada ya kukamilisha taratibu za kuanza biashara, hivyo pango litahesabika kuanzia tarehe hiyo. Mkataba huu ni wa miezi mitatu baada ya hapo nitaamua kuendelea au vinginevyo. Pango la chumba kwa mwezi ni Tshs: ……………./= kwa mwezi. Huduma za umeme. na maji zitategemea matutumizi kupitia metre separator au mita yangu mwenyewe. Mkataba huu nimeingia nikiwa na akili timamu na kushuhudiwa na: - …………………………….           …………………………………        ……………………………..      (……………….)                             (……………..)                   (……………..) SHAHIDI                                              MPANGAJI                            MWENYE NYUMBA     071X XXX XXX                          0757 XXX XXX        

KARIBU TUKUFANYE UITAMBUE BIASHARA YAKO

Jifunze ujifunze ili ujue kama unatengeneza faida au upo katika upande wa hasara tufanye tukutumikie unufaike tupigie 0764 530 882

JIFUNZE KUTENGENZA PESA KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII

Imezoeleka sana kwa watu wengi kuytumia mbs zao kuchati tu lakini unaweza kutengeneza pesa kupitia mbs zako kujifunza zaidi karibu kwetu

Kazakh: Binadamu wa dhahabu kuzikwa tena, baada ya kufukuliwa miaka 50 iliyopita

Image
Kazakhstan itazika tena mabaki ya mwili wa shujaa wa kipekee katika hifadhi ya kihistoria kwa ajili ya watu wa baadae. Matumaini yao ni kwamba vizazi vya baadae watafanikiwa kugundua asili ya mtu huyo. Wanahistoria waligundua mabaki hayo yakiwa yamembatana na silaha za dhahabu safi pamoja na sanaa mbali mbali za thamani wakati wakichimba katika makaburi ya Issyk kusini mwa nchi hiyo mwaka 1969, na hapo hapo wakampa jina la "binadamu wa dhahabu". Tangu uhuru mwaka 1991 amekuwa ni ishara ya urithi wa asili wa taifa huko Kazakhstan. Silaha yake ya dhahabu imekuwa ni kitu cha kujivunia na imehifadhiwa katika hifadhi ya taifa ya Astana, pia hudhuru sehemu mbali mbali duniani kama alama ya tamaduni ya Kazakh. Serikali yazima jaribio la mapinduzi Gabon Kinywaji kinachodaiwa kuwa na 'Viagra' kuchunguzwa Uganda Haki miliki ya picha

Uchaguzi DRC: Martin Fayulu anataka kura zihesabiwe upya

Image
Uchaguzi DRC: Martin Fayulu anataka kura zihesabiwe upya Saa 6 zilizopita   Image caption Martin Fayulu (wa pili kutoka kulia) akiwa mahakamani siku ya Jumamosi Mgombea wa upinzani katika uchaguzi mkuu uliyofanyika nchini Jamhuri ya kidemocrasia ya Congo amewasilisha kesi katika mahakama ya katiba kupinga matokeo ya uchaguzi huo. Martin Fayulu anasisitiza kuwa alishinda uchaguzi huo lakini tume ya uchaguzi ikamtangaza mshindani wake Felix Tshisekedi kuwa mshindi. Anamlaumu Tshisekedi, ambaye pia alikuwa mgombea wa upinzani kwa kushirikiana na rais anaeondoka madarakani Joseph Kabila. FBI 'ilimchunguza Trump kuhusiana na Urusi' Fahamu historia ya pasipoti duniani Acacia yalimwa faini ya milioni 300 Tanzania Kwa mujibu wa shirika la habari la AFP, wakili wake Feli Ekombe amesema: &quo

Mtaalamu bingwa wa afya ya akili kutoka Tanzania kutuzwa Marekani

Mtaalamu bingwa wa afya ya akili kutoka Tanzania kutuzwa Marekani 9 Juni 2018 Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Email

Rais Donald Trump na Melania wawatembelea ghafla wanajeshi wa Marekani nchini Iraq

Image
27 Disemba 2018 Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Twitter Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako

50 Cent amhimiza Kanye West agombee Urais wa Marekani 2020

Image
Alipotangaza mwaka jana kuwa mwaka 2020 atagombea urais wa Marekani, watu wengi waliamini kuwa Kanye West alikuwa akiota ndoto za mchana. Hata hivyo wapo watu ambao wanaamini kuwa Yeezy pamoja na kutokaukiwa vituko, anafaa kuchukua fomu kuwania nafasi hiyo kubwa duniani. Mmoja wa watu hao ni 50 Cent, hasimu wake wa zamani. “Nadhani Kanye anatakiwa kugombea,” 50 alisema kwenye podcast ya Drink Champs. “Sijali kama atapoteza. Nataka tu agombee, watu hawawaamini wanasiasa hivyo watamuangalia na kumuona ni kitu tofauti na hata kama akifanya makosa, anasema anatenda katika ukweli.” Kwenye show hiyo pia 50 alizungumzia bifu ya Meek Mill na Drake.

Elizabeth Warren atangaza azma ya urais Marekani 2020

Image
Elizabeth Warren atangaza azma ya urais Marekani 2020 Januari 01, 2019 Seneta Elizabeth Warren Shirikisha Ona maoni Warren alisema "hata kama tuna tofauti zetu, wengi wetu tunataka kitu hicho hicho. Kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na kuwahudumia watu tunaowapenda. Hicho ndicho ninachopigania na ndio maana leo ninazindua kamati ya uchunguzi kwa ajili ya kuwania urais”. Seneta m-democrat Elizabeth Warren wa Marekani ameunda kamati ya uchunguzi kwa ajili ya kuwania urais mwaka 2020. Seneta huyo wa Massachusetts siku ya Jumatatu alikuwa mtu wa kwanza katika kile kilichobashiriwa kutangaza azma yake ya urais ifikapo 2019. Warren mwenye miaka 69 alizungumza kwenye video iliyotumwa kwa wafuasi wake akisema “hata kama tuna tofauti zetu, wengi wetu tunataka kitu hicho hicho. Kuwa na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii na kuwahudumia watu tunaowapenda. Hicho ndicho ninachopigania na ndio

LOWASSA ATANGAZA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2020

Image
LOWASSA ATANGAZA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2020   Malunde       Monday, July 17, 2017 Waziri Mkuu wa zamani na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amesema licha ya changamoto nyingi anazopata akiwa ndani ya upinzani, atagombea tena urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2020 na anaamini atashinda. Lowassa aliyejitokeza kugombea urais kupitia CCM mwaka 2015 na jina lake kukatwa kisha kuhamia Chadema alikogombea nafasi hiyo akiwakilisha vyama vilivyoungana chini ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na kushindwa na Rais John Magufuli, bado anatajwa kuwa mgombea mwenye nguvu katika kambi ya upinzani. Kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Rais Magufuli alishinda kwa kupata kura 8,882,935 sawa na asilimia 58.46, huku Lowassa wa Chadema akijipatia kura 6,072,848 sawa na asilimia 39.97 ya kura zote. Akizungumza jana katika mahojiano maalumu na waandishi wa Nation Media Group (NMG) jijini Nairobi, Lowassa alisema, “Kwa mapenzi ya Mungu n